The Most Beautiful City in Africa

The Most Beautiful City in Africa

Yeah bongo wanagonga faini hadi unakiangalia chombo mara mbili unajiuliza hivi ni boxer au chopa namiliki?

acha... utalipia jiji, tambaza, usije mjini(kibali), mgambo, na yule jamaa anazunguka na diffender a.k.a Vicent (Kanumba) huyu jamaa ili utoe dau zuri selo ya msimbazi utaijua tu..
 
🙂🙂nimeupenda huo utaratibu.
tz ndio tuko nyuma mkuu utaratib huu upo nchi nyingi na si kwa bodaboda tu hata wauza maji na wapiga debe lengo ni kutengeneza fursa za ajira hivyo badala ya kujenga ukuta wanajenga daraja kwa vijana wasio na ajira ikhatibu
 
Kigali ni safi sana ila ni barabara moja tu yaani main road
ni heri uwe na moja uihdumie kuliko kuwa na nyingi ni metaphor ya watoto wengi halafu unashindwa kuwasomesha
 
Ni swala la nidhamu kwa watendaji na wananchi. Viongozi wasimamie sheria na taratibu bila ya umagumashi. Hakuna kisichowezekana. Leo tunamsumbua Mh. Raisi kukumbusha usafi badala ya kuwafanyia Watanzania maswala makubwa zaidi na watendaji wa Mikoa na Wilaya wapo pamoja na Wakurugenzi wa Halimashauri.
Nafikiri baada ya Raisi kuwakumbusha majukumu yao ya usafi waajibike.
 
kama wanalia mkono wa kushoto!
 
acha... utalipia jiji, tambaza, usije mjini(kibali), mgambo, na yule jamaa anazunguka na diffender a.k.a Vicent (Kanumba) huyu jamaa ili utoe dau zuri selo ya msimbazi utaijua tu..
ni sheeeeedaa
 
Ni swala la nidhamu kwa watendaji na wananchi. Viongozi wasimamie sheria na taratibu bila ya umagumashi. Hakuna kisichowezekana. Leo tunamsumbua Mh. Raisi kukumbusha usafi badala ya kuwafanyia Watanzania maswala makubwa zaidi na watendaji wa Mikoa na Wilaya wapo pamoja na Wakurugenzi wa Halimashauri.
Nafikiri baada ya Raisi kuwakumbusha majukumu yao ya usafi waajibike.
umenena vyama mtumishi
 
halafu sisi wanatukataza tusiende mjini mbona nawaona wadau wenzangu kwenye kila picha hapo

Hao wananidhamu sio kama ninyi. chunguza hizo picha. Wamevaa helmet, hawajabeba mishkaki, wanafuata sheria za barabarani, wanaonekana kabisa hawana viroba kichwani kama baadhi yenu wanavyokuwaga.
 
una jicho kali sana
 
Wanaposema the most beautiful city in Africa nashindwa kuelewa kabisa wanamaanisha nini.
 
ni heri uwe na moja uihdumie kuliko kuwa na nyingi ni metaphor ya watoto wengi halafu unashindwa kuwasomesha

hilo ni kweli maana barabara hii inafanyiwa usafi toka kigali, ruhengeri mapaka gisenyi utakuta wafagiaji wako wanafanya kazi na kila mwisho wa mwezi kuna siku ya usafi ,, nimeambiwa hata mkuu wa nchi hutoka kufanya usafi.... kwa nchi yenye eneo kama ka rwanda is possible japo sijafika mikoa mingine zaidi ya kigali na cities za kuelekea goma.... mimi nadhani kigali sheria tu inafanya kazi.
 
accountability pia
 
attachment.php
attachment.php
 
Attachments

  • kigali-clean.jpg
    kigali-clean.jpg
    27 KB · Views: 304
hilo ni kweli maana barabara hii inafanyiwa usafi toka kigali, ruhengeri mapaka gisenyi utakuta wafagiaji wako wanafanya kazi na kila mwisho wa mwezi kuna siku ya usafi ,, nimeambiwa hata mkuu wa nchi hutoka kufanya usafi.... kwa nchi yenye eneo kama ka rwanda is possible japo sijafika mikoa mingine zaidi ya kigali na cities za kuelekea goma.... mimi nadhani kigali sheria tu inafanya kazi.

Ka Rwanda ni kadogo sana kwel, ila sisi mbona tumeshindwa hata kuchukua hata wilaya 1 mfano kinondoni iwe Safi kama Kigali, kama kweli tatizo ni udogo wa sehem
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom