The Monalisa Smile Painting....!!!

The Monalisa Smile Painting....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
monaLisa_1700873c.jpg
Aisee mi nimejaribu sana kuscoot why hii portrait ina controversy na mystery maana sioni chochte cha ajabu thou wazungu wenyewe wanahangaika kujiuliza who is this woman na tabasamu lake limeficha nini...

Utata, upotoshaji na maoni yangu kuhusu mchoro wa Monalisa na Da Vinci Code - JamiiForums
 
Si wamfuate popote alipo wakamuulize ...lol!
 
Hiyo picha ina issue mbili kuu zinazoshangazwa watu:
  1. Inasemekana iko-coded. Monalisa ni mwanamke ambaye alikuwa anatambulishwa kama mwanume! (yule aliyempenda)! Itabidi ulete mambo ya 'The da Vinci Code'!
  2. Quality (fineness) ya hiyo picha. Inasemekana Da Vinci alikuwa anasimama kutwa nzima anaianglia hiyo picha.. na mwisho anaweka ki-dot tu mahali ( kama ndo imperfection) aliyoiona!
 
Moja ya the so called maajabu yake ni kuwa pamoja na umaarufu wake, picha him haina nyusi. Lakini pia ilisadikiwa ilichorwa na Mtaliano maarufu aliyekuwa anaitwa Leonardo da Vinci. Mwanamke aliyechorwa inasadikika kuwa ni Lisa Gheraldini mke wa Francesco del Giocondo ambae alikuwa mfanyi biashara tajiri wa hariri (silk merchant) na inasadikiwa ilichorwa kati ya mwaka 1503 na 1506. Neno Mona ni la kitaliano lina maana ya Ma'am, au madam au my lady kwa kingereza. Moja ya sifa adimu za Leonard da Vinci ni kwamba inasadikiwa alikuwa na uwezo wa kuandika kwa mkono moja na kuchora kwa mkono mwingine kwa wakati mmoja!
 
Jaribu tafuta vitabu vya Dan Brown vipo humu mkuu san tzu aliviweka humu kama sijakosea kuna kimoja kinaelezea kuhusu hiyo pic nahisi ni da vinci code kama sijakosea nimevisoma mda kidogo
 
Last edited by a moderator:
Kujua haya mambo lazima uwe mpenzi wa art za aina hiyo ndo utajua utamu wanaouona.
Mfano picha ya Paul Cizanne (The Card Players) ni miongoni mwa picha zilizouzwa kwa baei aghali sana (about $259+mill), hivi ukiiangalia ina nini? Ukianza mambo ya codes utaishia kusema wanapromote ushoga? Anyway si mzuri kwenye hayo mambo, ila check picha yenyewe

Hiyo picha ina issue mbili kuu zinazoshangazwa watu:
  1. Inasemekana iko-coded. Monalisa ni mwanamke ambaye alikuwa anatambulishwa kama mwanume! (yule aliyempenda)! Itabidi ulete mambo ya 'The da Vinci Code'!
  2. Quality (fineness) ya hiyo picha. Inasemekana Da Vinci alikuwa anasimama kutwa nzima anaianglia hiyo picha.. na mwisho anaweka ki-dot tu mahali ( kama ndo imperfection) aliyoiona!
 
View attachment 121247
Aisee mi nimejaribu sana kuscoot why hii portrait ina controversy na mystery maana sioni chochte cha ajabu thou wazungu wenyewe wanahangaika kujiuliza who is this woman na tabasamu lake limeficha nini...

Mkuu soma novel ya Da Vinci Code itakuelezea kuhusu tabasamu hili, hata jina Monalisa ni muunganiko wa majina ya miungu wa misri Amon- Mume na Isis/ l'isa-Mke hivyo Monalisa ni combination ya mke na mume kwenye mwili mmoja, hii ni creation ya Leonardo Da Vinci mkuu wa priory of sion miaka hiyo
 
wakuu asanteni sana kwa kufunguka na ma facts, namimi ntaanza kufuatilia the world of art kwanzia sasa...!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom