Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,181
- 21,321
Haaland sio mzuri kwenye ball control,so kwenye build up sio mzuri ,kupress vile vile sio mzuri .....Haaland kafanya timu ibadilike kabisa namna ya uchezaji..
yani tunakuwa pungufu wakati wa build up kwasabu yeye anakuwa ka stick sehem moja..
Naanza kuhisi kufeli kwa falsafa za pep kwa staili hii kwasababu hata pale barca alikuwa na false no.9 messi ambaye ni mzuri kwenye build up.
Tukiendelea kucheza possesive futbol tukiwa na haaland kama central oriented striker sion tukifika popote labda kama tutahama kwenda kwenye direct football ama haaland mwenyewe aanze kuwa involved kwenye build up phase.
Yeye anajua kumalizia tu ....
Sasa inatakiwa mfumo wa kuendana nae ....