The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Habari zenu humu, nauza sumu za PANYA, KUNGUNI, MENDE, , na pia kamba kitanzi kwa ajili ya kujinyonga, yoyote hunu mwenye hasira anione haraka sana, order ni nyingi
 
FB_IMG_16703917954022575.jpg
 
Msimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal
Nyie maboya huo👆 ndio msimamo wa ligi msimu huu, napia si hivyo tu Hadi carabao,FA na Europe huyo mwamba hapo juu namba 1 bado anashiriki, hivyo mtajua hamjui msimu huu mechi 8 mfululizo unbeaten and still more suplise to come for the red devil's👍
 
Back
Top Bottom