Kila mtu aliona sasa ..Watu walikuwa wanasema sanaView attachment 1767201
Walipptea kila idara.Ule mpira tumeocheza kipindi cha Pili aisee ,..!
Tume dominate kila kitu PSG walikuwa wanalanda landa tu kuvizia counter za mbape ,wakati dias kamweka mfukoni
Chelsea tuliwawekea kikosi b.Nikikutana na Chelsea final , basi nitaenda nimevaa suti kabisa ya kusherekea ubingwa ..
usisahau na kitaulo mzee asa cjui utajifut jash au machoz chelsea haishikik pep mwnywe htk hat kuiskia..!!Nikikutana na Chelsea final , basi nitaenda nimevaa suti kabisa ya kusherekea ubingwa ..
wote walikuwa pocketed na Diaz na stoneUle mpira tumeocheza kipindi cha Pili aisee ,..!
Tume dominate kila kitu PSG walikuwa wanalanda landa tu kuvizia counter za mbape ,wakati dias kamweka mfukoni
striker mwenyewe Jesus wazinguaji haoTungelata striker mmoja ingependeza
Watakuwa wale bush united
Nasikia pep anataka wachezaji wote wawe wanacheza kwa pamoja ,kuzuia pamoja na kushambulia pamoja ndio maana saizi hahitaji striker tena ..!striker mwenyewe Jesus wazinguaji hao