Shida ya Pep ana complicate mambo. Kuna mambo unatakiwa kufanya simple yeye anataka atumie mbinu nyingi.Kuhusu uefa anashindwa kufanya maamuzi sahihi pep ...
Nikikumbuka game ya united ,nabaki kusema kuwa hatuna safari ndefu uefa ...
Pep hawezi kubadili mfumo , timu inapozidiwa ,uefa kuna timu kubwa zenye mbinu ndani ya muda mchache tofauti na sisi kabisa ,...!
Pep akileta EPL na fa ,sio mbaya ,kwa uefa hatuna kikosi cha kuamua matokea kwa game ngumu , kama ikitokea itakuwa bonus ...!
Sisi kuchukua uefa ni bonus tu ..
Pep ukiweza tu kumshika mbinu zake kipindi cha kwanza na ukamfunga magoli ni raihisi sana kupoteza mechi. Ila ukitoka naye sare kipindi cha kwanza au akakufunga ni ngumu sana wewe kushinda mechi.
Mechi nyingi tunazopoteza ni zile tunaruhusu magoli kipindi cha kwanza kwa sababu Pep anaumiza kichwa sana jinsi gani na kucheza na mbinu za mpinzani kumbe mpinzani mwenyewe anakuja na plan A kuzuia, plan B kuzuia na plan C kufunga ikitokea chance.
Tuna kila silaha ya kuweza kushinda UEFA ni juu yake Pep na Wachezaji kutimiza wajibu