Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,173
- 26,910
Jesus anabaki,
Sterllinh na Gearish waondoke kabisaaa
Tuna imani na team yetu,![]()





Jesus anabaki,
Sterllinh na Gearish waondoke kabisaaa
Tuna imani na team yetu,![]()





Mtuache na City yetu, nyie big boyz mkacheze final huko, lol.Chama kubwa bila UCL
UCL for the big boyz
Khaaaaah.
Laana haina uhusiano na uchawi kabisa babu, kipara alisahau kabisa kombe la ucl ktk akili yake!Waulize kwanini timu za afrika kombe la dunia hizifiki popote, hakuna swala la uchawi wala nini. City walikosa mfungaji
Mzee mimi mwnyw ni Man City ila jana tulikuwa tuna kila sababu ya kushinda,ila Karma tu ilimuua Pep.
Maana hakuna mechi yeyote Pep afungwe goli vile tena za haraka haraka vile.
Ni maajabu tu

Kabisa mkuu uefa ina wenyewe kama kina Chelsea
Mkuu nimepitia comment zako, huyu Pain killer ulimwambia kila kitu tangu mwanzo kwamba mtapigwa lakini hakusikia na ndio kimetokea.
Mkuu tusimcheke nakati wanatuita sisi ni mashabiki wa Mourinho tu aliyekuja Chelsea 2003 lakini bado tumepata mafanikio tele tokea huo mwaka kuliko klabu yoyote UKNa nyinyi Chelsea munamcheka Man City?![]()


Shushia maji ya kunywa ya bariiidi usije kufa kwa uchunguNimeumia sn City kutoka

Sasa Chelsea tunafanana nae? Yeye anazo 2 sisi je?Na nyinyi Chelsea munamcheka Man City?![]()




Sasa Chelsea tunafanana nae? Yeye anazo 2 sisi je?
Yaan had Aston Villa hatufanan nae, city inatuumiza sana watu wake,![]()



Na bado nakuambia Na bado.Huyo na Lukaku hawana tofauti kabisa, hakika Mwacity na Chelsea tulipigwa na vitu vizitoImagine Jack kanunuliwa kwa €100m



Walishakuwa na on target 1 kupitia BenzemaHadi dakika ya 90 RM hawakuwa na on target yeyote kama takwimu zangu ziko sawa
Ila city wameonyesha kuwa hawatoshei kwenye haya mashindano. Walitucheka sanaWalishakuwa na on target 1 kupitia Benzema
Binafsi nilifurahi sana jana maana hawa Mwacity huwa wanajiona wako sayari nyingine kabisa kiuwezo katika sokaIla city wameonyesha kuwa hawatoshei kwenye haya mashindano. Walitucheka sana
