The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hiyo Madrid Haina ubora wowote mzee labda ni vile football inamatokeo yake .....!

Any way wacha tuendelee na ligi uefa tutajiandaa next season ...!

Umechanganyikiwa wewe sio bure!
Madrid kawatoa
PSG
Chelsea
Man City
Heshimu hawa watu wewe hata Atletico alistahili akutoe,hauna uwezo wowote zaidi ya kumfunga Norwich
 
Kaka mimi naona Laporte siku hizi simuelewi kabisa,bora Stones awe anacheza.

Sijui kwa nini anampenda sana Laporte wakati ana concid goli nyingi sana.Mzuri kwny kushambulia tu ila tukiwa tunashambuliwa anazingua tu.Anampa shida tu Diaz.

Bila Stones ile gemu na Atletico ya away tungepigwa nyingi tu.Stones ni kitasa na anajua majukumu yake.Zile Counter tunazofungwaga kila siku ni sababu za Laporte kujisahau.

Zincheko now na yeye benchi limemshusha viwango sio kama yule wa zamani.

Ederson ni mtu,huwezi kipa ukapewa kila kitu.Kwanza anajiamini pia ni mzuri wa kuanzisha mashambulizi.Labda tu yeye kwny mechi kubwa huwa ana kitete

Man city kwny big match huwa tunawahi kukata tamaa mapema na tunachanganyikiwa sana endapo tukifungwa goli.Tunahitaji captain ambaye anaweza kuslow down pressure za wachezaji kwny hali ngumu kuturudisha mchezoni.

Tunahitaji wazee kwny timu yetu.Maana hakuna kijiji kisichokuwa na mzee.Tunahitaji mtu ambaye anasikilizwa na wenzake.

Sio captain unampa eti Sterling au De bruyne mtu ambaye ana hasira za karibu.Captain ilibidi awe km Walker maana Fernandinho ndo huyo anaondoka.Gundogan ndo huyo mpole tu.

Tunahitaji mtu ambaye ataamsha munkari changing room au uwanjani tukijisahau.

All in all Man City we are the best team
Uchambuzi bora sana huu.
 
Akili hauna kenge ww
Mimi nafurahia Sana team langu man city ,team kubwa imetolewa semi final na dunia nzima inatuzungumzia , headline ulaya nzima ni man city

Radio ,tv ,wachambuzi wote wanazingimzia the big team Manchester city

Hadi vilaza ambao hawajui mpira ,wanamzungumzia bernado Silva ,Mahrez ,kDB

This is ze cityzen baby ,come on
 
ba48b7fe-b1e8-443d-bfb4-1dee3f6875b3.jpg

Mabilion kadhaa lkn NO UcL
Fraud Pep has to go
 
Back
Top Bottom