The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mmepigwa na Madrid bao 3, timu bora msimu huu uingereza ni liver hadi sasa maana ipo kwenye race za makombe yote iliyoanza kuyatafuta msimu huu,
Sisi tutapindua meza mapema sana subiri uone kitakachotokea. Halafu Sasa tutataka tukutane na nyie kuku..
#CFC💙💙💙
 
.
IMG_20220412_172636_413~2.jpg
 
Fernandinho When Asked If He’d Like To Extend His Stay At City For Another Year: “I Don’t Think So…”

Ndiho anataka kustafu
mancityworld-20220412-0001.jpg
 
Bora Chelsea katoka maana tulikuwa tunaenda kukutana na huyu mbwa ,na asingekubali kuchapika nje ndani kama tulivomfanya epl ....lazima angekaza makalio hatariiii.....!
 
Back
Top Bottom