The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Jesus alikuwepo hakuna na injury yeyote na alikuwa bench,labda pep alimuweka kwa ajili ya Liverpool....kesho tunaweza kumuona anaanza
Ooooh hapo sawa, ila KDB Awepo jaman kesho jaman, nimeanza kuogopa km hatakuwepo lol.
 
Pep Guardiola on De Bruyne’s injury:

“It is stitches in his calf. It is not a muscular injury.”

De Bruyne is still out of tomorrow’s semi-final against Liverpool
mancity_mcfc-20220415-0002.jpg
 
Kiufupi ni kwamba tulisahau kabisa kucheza mpira ,wametushambulia Sana ,lakini hawakuwa wakatili golini kwetu ...! Tulicheza vibaya lakin tumequalifie na ndio inatakiwa ...huwezi kuwa Bora kila game sometimes unakuwa out of form na ukiona una win ukiwa out of form jua kuwa ....ni tabia ya timu zinazoelekea kuchukua ubingwa
Ubingwa hamtauchukua kamweDAIMA mto hupita katika njia zake....unaweza kuta nottingham forest akaja kuchukua CL kabla yenukwakua tayari njia alishaitengenezamaana ALISHALIZOEA KOMBE
 
Ubingwa hamtauchukua kamweDAIMA mto hupita katika njia zake....unaweza kuta nottingham forest akaja kuchukua CL kabla yenukwakua tayari njia alishaitengenezamaana ALISHALIZOEA KOMBE
Kwani tatizo lipo wapi huyo Nottingham forest akichukua CL ,kwanza alishachukua enzi hizo hata haijaitwa CL
 
Hili kombe MWAKA huu NI LIVERPOOL AU MADRIDKWAKUA NDIO KOMBE LAO WAMELIZOEA....
Eti Villarreal eti man city hahahahaha endeleeni kuota,
Lengo la city ni kuburuza epl mpaka iwe Farmer league ,hatuna lengo na CL ,kama likija lenyewe sawa ila our target is epl ,upo wewe kilaza
 
Lengo la city ni kuburuza epl mpaka iwe Farmer league ,hatuna lengo na CL ,kama likija lenyewe sawa ila our target is epl ,upo wewe kilaza
Kilaza kivipi Sasa?kilaza Ana CL 6 ?AU KILAZA NI YULE MWENYE CL 0?ETI lengo LAKO NI EPL?wakati sheikh mansour analiota kombe la CL..acha ukilaza MKUU
 
So far Pep ni failure hapo city makombe yote aliyoshinda hata Mancini na Pellegrini waliyabeba

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Kama ni failure saizi tungekuwa nafasi ya saba huko tunaitafuta top ,usiwe mjinga ,kushindwa kuchukua CL ndio kufail ?

Sikuelewi kabisa unamaanisha Nini mzee ...CL sio kigezo kabisa
 
Back
Top Bottom