Pep kazalau game ..
Kaweka kikosi dhaifu sana ,kile kikosi sio cha ushindi kabisa ,kwa tulio angalia mpira no doubts..
Ake + stone ,hii combination ilishakataa toka kitambo ,ake kafanya open mistake ,najua hata yeye anajua alilofanya ..
Madogo wa academy kuwaleta kwenye final sijui pep aliwaza nini ,any way najua anatengeneza foden wengine lakin hii game haikutakiwa kufanya hivyo ...
Kama grealish alikuwa fit basi angeanza mapema kabisa ,Bernardo ,Rodrigo ,grealish sikuona sababu ya kukaa bench,kipindi cha kwanza tu tungetengeneza nafasi nyingi na kumaliza ...
Siku zote ukiwa vitan unaanza kutumia silaha ndogo ,huku mabomu ya nyukilia ukiwa umeyaficha kuaangalia upepo wa vita ukoje,ili ukija kulipua kila mtu chaliii ...pep techniques