CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,739
- 1,141
Pale kileleni kuna baridi kali sana! Arsenal wamefika wakashindwa kuvumilia, wakaondoka. Sisi wenye uzoefu tumerudi nyumbani na safari hii tumekuja kukaa. Christmas itatukuta hapo juu, na mwaka mpya tutauanza tukiwa bado hapo hapo. Kilele si sehemu ya kutembelea, ni sehemu ya kukaa.