Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Leo jack anatua etihad ,come on grealish

Yaan mkisajili lile pipa LA intermilan sijui lukaku ,mnaenda kupigwa vipigo vikali hatari ,lukaku mnapigwa aisee situkeni...Akili hauna
Acheni mazoea ya kijinga nyieTuche atafukuzwa kabla hata ya msimu ujao kuisha maana kuboronga kutakuwa kwingi sana.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
...au kisa kawafunga mara 3 mnaanza dua mbaya
Lecister city anakula goli tano mapema kabisa ...Wale wa Leicester tujuane mapema.
Huyu jamaa ni shabiki kindaki ndaki wa Manchester United..ze cityzen View attachment 1882819



Ngoja siku mukikutana na Man United ndio utajua kua jamaa ni shushushu wetu, lazima ajifunge.Leo nimeangalia grealish alikuwa anafanya training etihad uwanja wa mazoezi lakin katika kupasiana mpira ,katoka bila kupasiwa mpira ,wala kugusa
Nimebaki nashangaa ,
Manchester City taarifa zenu tunazo msione tumekaa kimya. Penati goooooooooooooo Nigerian IheanachoLeo nimeangalia grealish alikuwa anafanya training etihad uwanja wa mazoezi lakin katika kupasiana mpira ,katoka bila kupasiwa mpira ,wala kugusa
Nimebaki nashangaa ,
Mbavu sinaNgoja siku mukikutana na Man United ndio utajua kua jamaa ni shushushu wetu, lazima ajifunge.