na nyinyi mshaanza kulialia...wakipaki basi libebeni mliondoe hapo!
Mkuu naomba kutangaza masilahi, mimi ni mdau wa man u ila hapa nipo kuleta updates tu kwa kua mimi ni mdau wa soka kwa ujumla wake.
na nyinyi mshaanza kulialia...wakipaki basi libebeni mliondoe hapo!
watapigwa tu hao villans..
watapigwa kisela sana...ila angalieni vijamaa vinaweza kuwakomalia mkatoka suluhu
watapigwa kisela sana...