The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

We're delighted to announce the signing of Marcus Bertinelli from Chelsea.

IMG-20250610-WA0024.jpg
 
Chelsea wanataka kumsajili Gittens, tuliweka sell on clause ya 10% ya mauzo yake, Chelsea wamepeleka bid ya €50m, ikikubaliwa tunabeba €5m, apo tayari tushabeba £2m za mauzo ya Liam Delap.
 
Rayan Cherki ameshamwaga wino mkataba wa miaka 5, kilichobaki ni official announcement tu.
 
Grealish kwa ule mshahara wake ni ngumu sana timu kumfuata labda kutolewa kwa mkopo.

Most likely kuondoka ni Gundogan, Stones, Ake, McAtee labda na Nunes, Doku bado tunaye sana tu.
Tupeni Doku aje apambane na Martinelli. Huyu jamaa ni mchezaji aisee.
 
Hali ya mikataba ya makipa tulionao kwa sasa.

Ederson Moraes
Miaka 31
Mkataba kuisha June 2026

Stefan Ortega
Miaka 30
Mkataba kuisha June 2026

Marcus Bettinelli
Miaka 33
Mkataba kuisha June 2026
 
Kwa mujibu wa takwimu za ONS, kuanzia June 2023, jumla ya watoto 1,278 waliozaliwa nchini uingereza wamepewa jina la Rodrigo/Rodri.

Y'all know why don't you?
IMG-20250610-WA0028.jpg
 
Kolo Toure will join Guardiola's Man city backroom staff for the club world cup.

Jack Gaughan.
 
Ila pep alisem anataka wachezaji wapunguzwe, maajabu ni kuwa kila siku wanakuja wapya na tetesi za kusajili kama zote.
Wapo watauzwa wengine watatolewa kwa mkopo, dirisha ndio kwanza linakuja kufunguliwa tarehe 16.

Grealish
Gundogan
Bernado
McAtee
Stones
Ake

Hawa wote wanaweza kuuzwa.
 
Back
Top Bottom