Pep kaua game ya jamaa, amechezeshwa winga career yake yote pale City kitu kilichomfanya awe squad player tu.Grealish ni shati aondoke tu, ni hasara kununua mchezaji wa £100m kama Grealish, afadhali City ingemnunua hata Samatta kwa £10m kuliko Jack.
Nilishawahi kuandika humu,hiyo hela tunapata midfielders wazuri wawili.Best financial deals:
Et-Nouri £36.3m
Reijnders £46.3m
Cherki £34m
Kuliko lile deal la £120m kwa Florian Wirtz.