Huyu atupishe
Huyo jamaa alikua kalewa au?Kwenye parade ya Liverpool limetokea hili tukio, Mungu awajaalie wote walioathirika.
View attachment 3347267
Bado hawajatoa taarifa chanzo ni nini.Huyo jamaa alikua kalewa au?
Hata wao wanaelewa hili.Hii habari ya pep kutaka kikosi kidogo si nzuri, hiyo inapelekea wachezaji kucheza dakika 4000+ kila msimu.
Mchezaji kucheza kwa dakika zote hizo kwa intensity ya juu lazima injuries zipatikane.
Case study ni Liverpool, baada ya kucheza kwa kiwango cha juu kwa misimu 3 mfululizo, msimu wa 2020/21 wachezaji muhimu wakapata injuries timu ika collapse.
Sasa unless timu iwe inasajili vizuri kila msimu, kikosi kidogo ni kutafuta disaster.