The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

IMG-20250529-WA0000.jpg
 
  • Thanks
Reactions: K11
Carlos Vicens ambaye alikuwa kocha msaidizi wa City, anaondoka kwa ajili ya kuchukua kazi mpya ya kuwa kocha mkuu wa Braga.
 
Tijjani Reijnders and Manchester City have reached an agreement on personal terms.

[Sacha Tavolieri]
 
Hii ndiyo inaitwa complete overhaul.

Juanma Lillo, Inigo Dominguez na Carlos Vicenz wote ambao wamekuwa makocha wasaidizi wa muda mrefu pale City wanaondoka.

Fresh & new ideas zinahitajika.
Hugo Vianna kaja na moto.
 
"This club will do everything possible to get back to the standards we all know we can achieve"

Khaldoon Al Mubarak, City chairman.
 
Gundogan leo amesafiri mpaka uturuki kwa ajili ya kuanza mazungumzo na Galatasaray.
 
Tukimsajili Cherki itakuwa ni smart transfer, bei yake ni £20-25m, badala ya kukomaa na gibbs-white ambaye Nottingham hawawezi kumtoa chini ya £80m
 
Back
Top Bottom