The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

City tumemaliza ligi tukiwa na 10-game unbeaten run.

Ndio unbeaten run ndefu zaidi kuelekea mwisho wa msimu huu.
 
Not that bad for Matheus.

IMG-20250526-WA0008.jpg
 
Arsenal wamemleta Zubimendi, na wanataka kumleta Gyokeres, Liverpool wamemleta Frimpong, wanataka kumleta Wirtz, sisi bado tunashangaa tu.
 
Tunataka kumleta Gibbs-white, yani kwa maplaymaker wote waliopo ulaya tunamtaka mtu rigid kama gibbs-white.
Kuna fundi xavi simons, kuna yule Rayan cherki, kuna olmo.
 
Mtu kama cherki anaweza kucheza kama CAM na anacheza winger, versatility ambayo inahitajika kama tunataka kupunguza ukubwa wa kikosi.
 
Tunataka kumleta Gibbs-white, yani kwa maplaymaker wote waliopo ulaya tunamtaka mtu rigid kama gibbs-white.
Kuna fundi xavi simons, kuna yule Rayan cherki, kuna olmo.
Gibbs-White sio mbaya mkuu, Chris Wood kanufaika sana na crosses za huyu jamaa.
 
Inaonekana Liverpool watamchukua Kerkez, sisi tumehamia kwa Ait-Nouri wa Wolves.
 
Hii ni moja ya worst positions kwenye carrier ya pep, standards.

IMG-20250526-WA0022.jpg
 
Sababu ya sunderland kupanda daraja, City tutapata £2m sababu ya clause iliyopo kwenye mkataba wa Patrick Roberts pale Sunderland.
 
Haaland kafunga magoli 22
ya EPL msimu huu.

Huu ni msimu mbovu zaidi wa Haaland akiwa City.

Standards.
 
Back
Top Bottom