Mwezi ujao tuna jambo letu pale USA, mda huo watoto ndio wanaenda pre season.Tukutane msimu ujao sasa.
Kumbe ligi ndio imeshakwisha??? Tumeishacheza na nyie??? Tuwalambe lambe...😄😄😄😄
Ubebe UEFA na Europa 😂😂😂😂Matakataka katika ubora wenu,,hamuyiogopi Chelsea??? Musimu ujao tunabeba uefa na europa, mupooo..??
Badoooo, tunacheza mwezi wa 7 mechi iliahirishwa 😂Kumbe ligi ndio imeshakwisha??? Tumeishacheza na nyie??? Tuwalambe lambe...😄😄😄😄