Rumours tu hamna kitu hapo.Ni muda naona tunahusishwa na rodrygo wa madrid.
Kama huyu akija itabidi grealish na mmoja kati ya doku au savinho auzwe.
Nakula ela hutaaminiUnamasihara na hela wewe
Ngoja kukuche😂😂 Be our guest.
Aa wapi, kuna magarasa kina doku na grealish inabidi waondoke, leta rodrygo fundi.Rumours tu hamna kitu hapo.
Kwasasa timu inapambana kuongeza nguvu kwenye midfield na backline, kule mbele tupo full.
Sajili zitafanywa ni suala la muda tu, nakuhakikishia dirisha hili wataletwa wachezaji si chini ya 3 (midfielders 2, fullback 1)Ule msimu wa kwanza wa pep alipotoka trophyless, akaondoa magarasa 12 pale city kisha zikaletwa mashine za kazi
Walker
Bernado
Ederson
Danilo
Mendy
Msimu huu naona tuna masihara sana sokoni, mtu kama wirtz sio wa kumuacha kizembe namna ile, naanza kummiss Txiki.
Tofauti na ushindi kwa Chelsea, city hata akipteza bado anaweza kwenda uefa
Hapo tushinde tu, hao wengine watajuana huko chini.Tofauti na ushindi kwa Chelsea, city hata akipteza bado anaweza kwenda uefa
Akina dada wetu hawajataka jina la Arsenal lisomeke bila kikombe chochote
View attachment 3345275