The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

IMG-20250525-WA0007.jpg
 
Leo nico ndio dm, huyu jamaa huwa naona hana positinal awareness kabisa, plus no kdb game inaweza kuwa tight hii.
Hakuna namna, Kova ana red, Rodri bado hayupo fiti kuanza.

Nafikiri itakuwa double pivot ya yeye na Bernado ili kumsapoti.
 
Halafu hii inakuwa pattern sasa, haaland mwanzoni mwa ligi anafunga magoli ya kutosha then mwishoni anapotea msimu wa tatu huu linatokea hili swala.
 
Halafu hii inakuwa pattern sasa, haaland mwanzoni mwa ligi anafunga magoli ya kutosha then mwishoni anapotea msimu wa tatu huu linatokea hili swala.
Huu msimu kabla ya ile injury alikua bado anafunga.

Kwa misimu miwili iliyopita kulikuwa na viungo ambao walikua wanazidi kufunga kadri siku zinavyozidi kwenda.

Gundogan (2022/23)
Foden (2023/24)

Viungo wanapokuwa wanafunga zaidi kuliko ku assist, striker ambaye ni localized kama Haaland lazima apate ukame, japo sijui ni kwanini inatokea mwisho wa msimu.
 
Dah hizi mechi za mwisho wa ligi mtu unashindwa hata ujigawe vipi kila game tamu.
 
Back
Top Bottom