The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Doku waga ana chenga moja tu, yani huyu yupo kama Robben, unajua kabisa atachenga hivi ila sasa shida ni speed inayotumiwa hapo.
 
Leo naona kati ya Haaland na Marmoush kuba mmoja ana goli lake.
 
We need only a draw here, unless chelsea ashinde kwa GD zaidi ya goli 6 na aston villa ashinde kwa GD zaidi ya goli 17 😂😂
 
Kila msimu huwa haziishi fununu za bernado kuondoka, ila kila msimu tupo nae.
 
Ndio shida ya Doku, pasi zake hazina macho, attempt 2 zote unababatiza tu.
 
Back
Top Bottom