Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
Utaamini tu muda si mrefi si mmezoea kuishi kimazoeaMimi bado siamini kama liverpool atafanikisha hilo dili.
By the way City ya misimu kadhaa nyuma ilikua inambeba wirtz mapema sana, kwa sasa nafikiri tunaathiriwa na ile kesi.
Pia mwezi January tu hapo tumetumia £250m kusajili, mpaka hapo budget ya dirisha la kiangazi inapungua na bado kuna nafasi nyingi za kujaza kwenye kikosi hivyo kutumia £250m now kwa mchezaji mmoja ni unthinkable.