The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

IMG-20250522-WA0020.jpg
 
Man city and AC Milan are in Advanced talks for Tijjani Reinjders.

@PeppeDiSte
 
Man city academy wamefanikiwa kuchukua ubingwa wa Premier league 2 kwakuwafunga Southampton mabao 2-0 kwenye playoffs.
 
Wawakilishi wa city wanatarajiwa kuwasili Italia ndani ya siku chache zijazo kuanza majadiliano na Ac Milan kwa ajili ya Reijnders.
 
Flashback.

Siku kama hii mwaka 2022, tunafanya Parade ya ubingwa wa msimu wa 2021/22.

IMG-20250523-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom