Huyu jamaa yeye kwenye kusherekea tu huwa hana show mbovu.
Tunafukuza mwizi kimyakimya.Toka tumejitoa dili la wirtz tumepoa sana sokoni, kuna sehemu ambazo tunahitaji kuboresha kama right back lakini sioni progress yoyote kwenye huo upande.
Mpaka kuanza world cup inatakiwa tuwe tumeshapata beki wa kulia na kiungo mshambuliaji ila kwa hali hii naona huenda tukacheza group stage na kikosi hikihiki.
Bila CAM huko tutaenda kuzurura tu sababu hata foden naye anasumbuliwa na ankle sidhani kama anaweza kufikia peak yake kiasi cha kumtegemea, gundogan nae sio mbunifu kivile.Tunafukuza mwizi kimyakimya.
Namuona Reijnders atatua kabla ya WC, hizo nafasi zingine sina uhakika hasa kwenye attacking midfielder.
Toka usajili wa grealish sina imani na wachezaji wa kiingereza.Yupo vizuri ukizingatia ni zao la academy ya la masia.
Kuna muda tulikuwa tunamfuatilia ila now naona kimya, ni kama nguvu zinaamishiwa kwa Gibbs-white.
Mimi bado siamini kama liverpool atafanikisha hilo dili.Ebanaeee kule Liverpool wanaenda kumsajili wirtz, yani wale mabahiri wa FSG wanaenda kutoa hela ambayo matajiri wa city waliona ni kubwa? kweli zama zinabadilika.