The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

IMG-20250522-WA0007.jpg
 
Ushindi wa Spurs umenikumbusha ile chelsea mbovu ya Di mateo ilivyochukua UEFA 2012.
 
Siku kama hii, mwaka 2022, tunapiga comeback ya kihistoria kwa kufunga magoli 3 ndani ya dakika 5 tu na kushinda taji la EPL.
 
City huwa tunachukua EPL kibabe sana, msimu pekee tuliochukua kinyonge ni ule wa 2013/14

Misimu mingine ni aidha tunachukua kwa gap kubwa, ama tunaunyakua dakika za jioniiii.
 
Mashabiki washaanza kuwa excited na patnership ya Rodri na Nico
Mimi naona tulipigwa hile pesa tuliyomnunua nico jamaa nimeangalia uchezaji wake sioni value for money.
Na sasahivi tunamtaka yule jamaa wa ac milan sioni huyu nico akiwa anaanza na rodri manake bado kuna kina gundogan,kovacic.
 
Unam judge Nico kwa perfomance ya kucheza nafasi ambayo sio yake.

Yule anacheza advanced role, sio DM ndio maana ame struggle pale ila naamini akiwa na support ya Rodri basi tutaiona quality yake kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom