Bora abebe spurs hana madhara ila nyumbu angeleta viredio sana.Hawa wote wamekutana wafu
Ngoja aende mbona kina shaktar donestk wapo na ubovu wao.Sasa hii Spurs na ubovu wote huu unaambiwa inaenda kucheza ligi moja na Liverpool, Barcelona, PSG, Inter, Bayern.
Ndio maana Wenger alisema huu mfumo wa bingwa wa Europa kwenda UEFA ni ujinga.
Shakhtar sijui kama ni kweli ame qualify.Ngoja aende mbona kina shaktar donestk wapo na ubovu wao.
Ana comment na kujijibu 🔥Uzi wa hovyo huu anaecoment ni mmoja tu.