The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

20250510_215316.jpg
 
Ukiichukua ligi kuanzia mwezi march, hawa wajomba ndo wangekua wanaongoza.
IMG-20250510-WA0042.jpg
 
Siku kama ya leo mwaka 2022, KDB anatoa performance ya kutisha dhidi ya Wolves, akifunga mabao 4.
IMG-20250511-WA0011.jpg
 
Siku kama ya leo, mwaka 2014, Manuel Pellegrini anaiongoza Man city kuchukua taji la pili la EPL na la 4 la ligi ya uingereza.

Pia anakuwa manager wa kwanza anayetokea nje ya ulaya kushinda taji la EPL.
IMG-20250511-WA0012.jpg
 
Tumefikia verbal agreement na Nicollo Savona, fullback wa Juve.
IMG-20250511-WA0003.jpg
 
Timu pia inajiandaa kuanza mazungumzo na Flamengo kwaajili ya Wesley Franca, ambaye naye ametoa green light kujiunga na city.
IMG-20250511-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom