Leo tumezingua aseeLeo mmetulaza na viatu kwa kanji
Mbona analia uyu
Si anabifu na gaffer wenu ama?The guy doesn't smile no more
View attachment 3330279
Wamemaliza nafasi ya ngapi
Hii sijaifuatiliaSi anabifu na gaffer wenu ama?
Wa 4, point 1 nyuma ya manyumbu.Wamemaliza nafasi ya ngapi
Haya mambo hutokea sana tu kwenye mpira.Tumeshindwa kabisa kufunga goli dhidi ya hii timu
View attachment 3330305
Sio direct win, sio GG, sio overIla nyie wazenge mmepita na mikeka yetu kkkkk 😬😬
Yeah naelewa, ila bado hakuna droo iliyoniuma kwenye ushabiki wangu wa mpira kama hii ya leo, nilikuwa nina expectations kubwa sanaa.Haya mambo hutokea sana tu kwenye mpira.