The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Chances for UCL qualification.

Arsenal- 99.9%
Newcastle- 95.5%
Man city- 92.7%
Chelsea- 56.3%
Aston Villa- 37.9%
Nottingham- 17.8%

Via Opta.
 
Nyumbu na mwenzie
IMG-20250512-WA0003.jpg
 
Siku kama ya leo, mwaka 2019 tunachukua ubingwa wa EPL kwa pointi 1 mbele ya Liverpool.
IMG-20250512-WA0000.jpg
 
Kwa mujibu wa ripoti ya Sacha Tovalieri, Leverkusen wanamuuza Wirtz kwa €100m kwa vilabu vya nje na €150m kwa vilabu vya ndani (specifically bayern).

Shida ni kwamba Bayern wametoa ofa ya mshahara mkubwa zaidi ambayo itakuwa ngumu kwa city kui match ( pale city mchezaji hatakiwi kumzidi mshahara Guardiola).

Pia Bayern wanatumia german media kuishinikiza leverkusen kumuuza wirtz kwenda bayern kwa kutumia stori ya wirtz kutangaza kuwa anataka kwenda Bayern.

Hatutoboi.
IMG-20250512-WA0001.jpg
 
Bayer leverkusen doing everything to prevent Wirtz from joining Bayern Munich.

@sachatovalieri
 
Huyu jamaa ndomana skuizi kanuna nuna tu, anapigishwa msuli heavy wa english 😂😂
IMG-20250512-WA0008.jpg
 
Miaka miwili iliyopita, siku kama ya leo Erling Haaland anachukua tuzo ya mchezaji bora wa chama cha waandishi wa habari.
IMG-20250512-WA0018.jpg
 
Klabu imesema tutatumia jezi zetu traditional za sky blue kwenye michuano ya kombe la dunia la vilabu, ambapo taarifa za awali zilitoa habari tofauti.
 
Back
Top Bottom