Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Bernado Silva alicheza LB na tukapiga hizo arsenal Goli 3
Arsenal ni kikundi cha wavuta ugolo leo lazima wakandwe kenge waleBernado Silva alicheza LB na tukapiga hizo arsenal Goli 3View attachment 2949769

Angalau kawaongelea nyie na si sisiJana ten hag Kakabwa koo mpaka anasema city alishinda game ya Brentford Kwa BahatiView attachment 2949864

link
wakimtoa Real madrid kwa timu bovu hili kweli taamini PEP ni masterNi vyema Manchester city mpambanie Makombe mengine,
Kuhusu Uefa champions League Wasahau.
Achana kabisa na Mechi za Real madrid kapike vitumba na timu lako Bovu hilo kwanza nyuzi zima una ji comment mwenyewe na unajibu mwenyewe rudi tu kweny timu yako ya zamani ya ArsenalJana nimeangalia game ya Madrid na osasuna ...
Real Madrid Kwa sasa mchezaji wanaemtegemea mkali Ni Jude ,japo Kwa sasa ana injury ,....
CB wao wanaowategemea n Tchoumeni na Rudiger, Tchoumeni Ni kama kiraka tu hata sio Namba yake ,last game Rudiger alimuweka mfukoni Haaland pale Bernabeu ,hii Ni kutokana tulikuwa tunataka kucheza mpira WA counter attack kama. Tulivokuwa tumetoka kumpiga buyern ,home game tuligeuza tactics,more possession wakala NNE ....
Vin ,camavinga ,Rodrigo ,wote Hawa ana kadi za njano , wakijichanganya tu wakapata njano nyingine basi Etihad hawawezi kucheza ...
Madrid saizi wanacheza mpira WA kuvizia ,wako compact nyuma ,ila winger za vin na Rodrigo ndio engine yao ,kiufupi hawana MTU WA kupita Kati kama ilivokuwa benzema ,mipira ya cross Jude anaweka ,kiufupi Jude ndio kama false nine wao ,au Yule bwana mdogo jesule( kama sijakosea Jina)....
Carlo Bora aje tupishane ,akija na mpira WA kuvizia basi ameumia ..Carlo saizi ana woga na Sisi naamin atataka kucheza mpira WA counter attack ....pep is cooking