The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Jana ten hag Kakabwa koo mpaka anasema city alishinda game ya Brentford Kwa Bahati
 
Kovacic Naona kashaanza kuaminiwa sasa na pep let's go ..
1883492345.jpg
 
Nyinyi mashabiki wa Barcelona, kubalini zama zimebadilika. Hii sio Arsenal ya kina MUSTAFI.Huwezi kuwa unacheza na Arsenal ya sasa hivi afu poa comfortable kabisa kubwabwaja kwamba tunafunga hawa.
 
Jana nimeangalia game ya Madrid na osasuna ...

Real Madrid Kwa sasa mchezaji wanaemtegemea mkali Ni Jude ,japo Kwa sasa ana injury ,....

CB wao wanaowategemea n Tchoumeni na Rudiger, Tchoumeni Ni kama kiraka tu hata sio Namba yake ,last game Rudiger alimuweka mfukoni Haaland pale Bernabeu ,hii Ni kutokana tulikuwa tunataka kucheza mpira WA counter attack kama. Tulivokuwa tumetoka kumpiga buyern ,home game tuligeuza tactics,more possession wakala NNE ....

Vin ,camavinga ,Rodrigo ,wote Hawa ana kadi za njano , wakijichanganya tu wakapata njano nyingine basi Etihad hawawezi kucheza ...

Madrid saizi wanacheza mpira WA kuvizia ,wako compact nyuma ,ila winger za vin na Rodrigo ndio engine yao ,kiufupi hawana MTU WA kupita Kati kama ilivokuwa benzema ,mipira ya cross Jude anaweka ,kiufupi Jude ndio kama false nine wao ,au Yule bwana mdogo jesule( kama sijakosea Jina)....

Carlo Bora aje tupishane ,akija na mpira WA kuvizia basi ameumia ..Carlo saizi ana woga na Sisi naamin atataka kucheza mpira WA counter attack ....pep is cooking
Achana kabisa na Mechi za Real madrid kapike vitumba na timu lako Bovu hilo kwanza nyuzi zima una ji comment mwenyewe na unajibu mwenyewe rudi tu kweny timu yako ya zamani ya Arsenal
 
Back
Top Bottom