Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
.into semi final in fa cup ...

Na muotea au namuweza wew OT unapachukuliajeMan U huwa anamuotea Sana Liverpool![]()
Hawa Mamacita wanaenda kutolewa na The Blauzi kwenye Semi final.Yani nyie MAMMBWA tumewapa ubingwa wa bure wa FA...mbwa nynyi.![]()
Chelsea huyu amefuzu Kwa kubabatiza ,red card ya leister city imewaokoa ....Hawa Mamacita wanaenda kutolewa na The Blauzi kwenye Semi final.
Fainali itakua ni Chelsea vs Man Utd.

Kunywa maji mengi ya baridi MzeeYani nyie MAMMBWA tumewapa ubingwa wa bure wa FA...mbwa nynyi.![]()


Pep Guardiola:
“Ederson is doing much better, Manuel Akanji will be 100% ready and available to face Arsenal”.


Sasa Mzee baba kesho utafanya Nin kwenye uwanjan WA nyumbani ,sikumbuki Mara ya mwisho tumepoteza Lin EtihadBado kidoooogo tu. Kesho siyo mbali

acha wababe wa ligi tuje tujichukulie zetu points 3 muhimu 😂Sasa Mzee baba kesho utafanya Nin kwenye uwanjan WA nyumbani ,sikumbuki Mara ya mwisho tumepoteza Lin Etihad![]()
Kuchukua point tatu ,itakugharimu Sanaacha wababe wa ligi tuje tujichukulie zetu points 3 muhimu![]()




...