Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,734
- 3,310
Ok gemu yetu hii we are [emoji471]
Ok gemu yetu hii we are [emoji471]
Bahati??? Msikieni huyuMechi mmeshinda kwasababu ya bahati tu
We are big club nowCongratulations Cityzens wenzangu. Historia imeandikwa sasa na sisi ni klabu kubwa[emoji838][emoji838][emoji838][emoji838]
Ndio ni bahatiBahati??? Msikieni huyu
LukakuuuuuuuuKajiroga ujuaji mwingi watu dakika zao zakusawazisha
Refa alikula mlungula mechi ilimshinda mapema sana kwa kutokuwa fair pande zote 2Mechi mmeshinda kwasababu ya bahati tu
Money talks to any investment issues.We are big club now
Bahati ni sehemu ya mpira so what is your point bro?Ndio ni bahati