The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuna watu hawaamin kua hiki sio tena kichaka cha kujifichia
Screenshot_20230611_001546_com.instagram.android.jpg
 
Unaitaji bahati kushinda makombe
Mkuu usibishane na watu roho zinawauma mwshoe wajiue.

Yan watu walikua Hwaamin mwaka huu tunabeba maana walikua wamekaa hcho kichaka very comfortable kwa mda mref sana.. Ss kimeisha.

Mtu anakwambia bht kama bht inter angeshinda na yy ss
 
Back
Top Bottom