The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Best husibitishwa na makombe mkuu utaniambiaje ni best huna ndoo kwa sasa wako kwenye u better

Better== best

Kwa sasa city wanafanya vizur mno ile sio best team itakuwa best wakitwaa mataj kwa sasa ni better
Ushakimbia kwenye Big tena umeanza kuchambua better na best?

Tukija kwenye ndoo kwani bingwa wa ligi ya england 2012 na 2014 alikua ni nani?
 
Wakuu nyie ndio mabingwa wa kikombe kule EPL mnatisha matokeo ya jana yawe tu changamoto ,tena zingeongozeka hata dakika 3 tu Liverpool angekufa,mna timu imetulia na kizuri zaidi uwanjani mpira wenu ni mkubwa sana ...
Mungu asaidie iwe hvyo kiongozi wangu pia gwara mingi sana kwako kwakua mkwel na muwazi bila kujari ushabiki... Najua tukirudi Spain tunaongea lugha moja (Barca on fire)
 
Tetesi

Manchester City wamejitoa katika makubaliano ya kumsaini Sanchez na pesa zilizoitishwa na ajenti wake. (Goal)
 
Me ni mfuasi wa good football mpira wa M city ni mkubwa sana
Mkuu ana niliumia sana kufungwa, ila tulipambana sana na kama muda ungekuwepo wa dakika kama tatu hivi za ziada baasi tungurudi kwenye fomu, Kikosi cha jana kilikuwa kizuri ila sikumuona Silva.
Na Liverpool walicheza mpira mzuri pia kwa kweli wangekuwa wanacheza vile kama jana Basi wangeku Juu au second place, mpira wao ulikuwa mzuri sna, kila wanapofika kwenye lango letu basi moyo unadunda.

Big up Liverpool,
Mechi ambayo Mancity kafungwa goli nyingi msimu huu ni kati ya Liverpool na Mancity 4 - 3. na Mechi ambayo Liverpool kafungwa goli nyingi msimu huu ni mechi kati ya Mancity na Liverpool 5-0,
 
Yeyesi
Mshambuliaji wa Nice Mario Balotelli,27, anataka kuhamia timu kubwa na ameichagua Manchester City kwa uhamisho wa bure. (Daily Mirror)
upload_2018-1-17_20-41-10.png
 
Wakuu nyie ndio mabingwa wa kikombe kule EPL mnatisha matokeo ya jana yawe tu changamoto ,tena zingeongozeka hata dakika 3 tu Liverpool angekufa,mna timu imetulia na kizuri zaidi uwanjani mpira wenu ni mkubwa sana ...
Ile mechi kocha wa Liver asingefanya sub nina hakika Mancity angeongezwa magoli zaidi
 
United wanaiongoza Liverpool na Chelsea katika harakati za kumnunua kiungo wa kati wa Nice Jean-Michael Seri, 26, huku Manchester City pia ikimtaka mchezaji huyo wa Ivory Coast. (Mirror)
 
Manchester City wana hamu ya kiungo wa kati wa Liverpool na Ujerumani Emre Can, 24, lakini hatma yake huenda ikategemea hatua ya Liverpool ya kutaka kumsajili kiungo wa Schalke, 22 Leon Goretzka. (Mirror)
 
Kiungo mkabaji wa timu ya taifa ya Brazili, Fernandinho Luiz Roza ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu ya Manchester City utakao muweka Etihad mpaka mwaka 2020.

Fernandinho mwenye umri wa miaka 32, ameiyambia tovuti ya klabu hiyo kuwa “Hii ni klabu ambayo inamipango bora zaidi ya baadae na mimi nahitaji kuwa sehemu ya mikakati hiyo.”

Fernandinho ameongeza “Ikiwa chini ya Pep nafikiria kuwa tutashinda mataji na tutafanya mambo muhimu na makubwa tukicheza mpira wenye mvuto na wakushambulia.”

ernandinho Roza ametua Man City mwaka 2013 akitokea Shakhtar Donetsk kwa usajili wa miaka sita.

Akifanikiwa kucheza michezo 46 ndani ya City na kushinda taji la Premier League na League Cup katika msimu wake wa kwanza ndani ya klabu.

Baada ya hapo akafanikiwa tena kuisaidia timu yake kunyakuwa taji la League Cup kwa kufunga bao la ushindi dhidi ya Liverpool katika dimba la Wembley mwaka 2016 na kuiwezesha kutinga nusu fainali ya michuano ya Champions League. Kwa jumla amecheza mara 212 na Blues na kufunga mabao 19.
 
Back
Top Bottom