us government hates rap wameweza kumfukua sadam hussein,osama na most notoriuos people in the world wakashindwa kumjua aliyemuua big na pac! Na always marapper wazuri ndo huwa wanakufa! Rest in peace my nigga pac n b.i.g for ever!
US government hates rap wameweza kumfukua sadam hussein,osama na most notoriuos people in the world wakashindwa kumjua aliyemuua BIG na Pac! Na always marapper wazuri ndo huwa wanakufa! Rest in peace my nigga Pac n B.I.G for ever!
hii kweli intelligence room...kama ni suge knight alicheza huo mchezo basi alijua kucheza na majira kufanya tukio coz kwa nnavyokumbuka kifo cha tupac kimetokea wakati bifu ndo limepamba moto na kundi la east cost team baada ya tupac kuachia ngoma ya HIT EM UP aliomchana BIG na kundi lote la east coast.
ila maswai ya kujiuliza kama BIG aliuawa kwa malipizi ya kifo ch tupac, kwa nini mauaji yasiendelee kwa kulipiza pia katika kikundi cha west cost? mauaji yaliisha baada ya kuondoka kwa hawa marapper wa juu tu.
na kama suge knight alimuua tupac kwa madai ya kutaka kujitoa death row, kwa nini BIG aliuawa kwa madai ya kisasi cha kifo cha tupac?
kingine ambacho ni kigumu zaidi..kushindwa kupatikana kwa wauaji kwa nchi kama marekani hapo ndo inanipa hisia kuwai ni consipiracy theory.
inawezekana kaka ebu leta viendo.
..what makes think that...hii ndio jf..tupe mtazamo wako
sababu binadamu hatuna uwezo wa kutabiri siku zetu za mauti kama alivyofanya 2pac.
ni kweli 2pac alisoma vitabu vya makavel, na makaveli hakutabiri kifo chake ila alitengeneza kifo fake ili kuwakwepa maadui wake na alipohakikisha maadui wote wakubwa wamefariki ndio akajiyokeza tena kwenye uso wa jamii after 14 years..pilipac alikua msomi na muumini wa filosofi za makavel..mi simuelewi vizuri huyu jamaa ila inasemekana aliwai sijui kufa akarudi au something like alitabili kifo chake..so labda pengine pac uwezo wa kutabili kifo chake aliupata kwenye mafundisho ya huyu mwanafilosofia.
Ila bado kuna kundi la watu wanaoamini pac bado yupo hai mmoja wao ni mtoto wa kiume wa will smith kwa hiyo sio wewe tu...mi mwenyewe na wish hiwe hivyo aissee
ni kweli 2pac alisoma vitabu vya makavel, na makaveli hakutabiri kifo chake ila alitengeneza kifo fake ili kuwakwepa maadui wake na alipohakikisha maadui wote wakubwa wamefariki ndio akajiyokeza tena kwenye uso wa jamii after 14 years..pili
kikubwa anko ni kwamba wasanii wengi wa marekani wanajua pac alipo na nimesikia nyimbo mbili mmoja wa eminem anasema pac moved to cuba.kwa kweli swala la kifo cha pac linamambo mengi ambayo ya pazia...binafsi hata mimi na maswali mengi ambayo nahitaji kupewa majibu na nilipoleta mjadala huu nilikua na matarajio ungepata wachangiaji wengi ili tubadilishane taarifa na tunayoyajua kuhusu utata huu..
kikubwa anko ni kwamba wasanii wengi wa marekani wanajua pac alipo na nimesikia nyimbo mbili mmoja wa eminem anasema pac moved to cuba.
Sijawai kuamini kuwa 2pac ni marehemu hata siku moja na sitakuja kuamini