The Magic Ring

RIWAYA…..THE MAGIC RING ( 14 )
MTUNZI….. HUSSEIN O. MOLITO
+255 (0)718 97 56 59
Iliandaliwa mikakati kabambe ya harusi yetu . kila kiumbe wa huko alipata taarifa juu ya harusi yetu iliyopangwa kufungika siku tatu mbele.
“Edward akisikia atachanganyikiwa eeh?” nilimuuliza mpenzi wangu tulipokua katika maandalizi ya mwisho ya harusi.
“kuna hatari ya kupoteza maisha kabisa kama atachukulia hii ni malipizo kwa aliyonitendea.”aliongea mpenzi wangu kinyonge. Baada ya kumtazama alitabasamu na kuwa mpole tena.
Siku iliyosubiriwa kwa hamu ilifika na wote tuliudhuria kwenye ukumbi mkubwa wa Damina uliokua ukitumika kwa mikutano mikubwa au harusi kubwa. Viumbe wote walipenda kuhudhuruia harusi hiyo ya kihistoria iliyohusisha binaadammu na jini huyo aina ya Fundy.
Ilikua ni ajabu sana kwa watu hao waliohudhuria baada ya kuniona nikiwa nimevaa mavazi yao na kunikaa ivizuri kabisa.
Mkuu wa majini alisimama na kuanza kuhutubia viumbe hao waliokuwepo humu ndani. Walikua maelfu kwa maelfu huku wote wakitumia lugha moja tu.
“sasa tunatakiwa tuwe kimya kwa ajili ya kumruhusu Jaji wetu aje awafungisha ndoa hawa wapendanao.” Aliongea mkuu wa majini na kuwafanya watu wote waliohudhuria hapo kutulia kimya.
Alikuja jaji kama vile tupo mahakamani na kunisogelea pale nilipo.
“upo tayari kumuoa Rosemary Pentzel?”
Aliniuliza hilo swali lililonifanya niitikie haraka.
“nipo tayari.”
Nilijibu na kumfanya Yule jaji arudie kuniuliza swali hilo mara tatu. Baada ya kujibu kua nimekubali na nipo tayari. Alihamia kwa mke wangu mtarajiwa.
“nipo tayari”
Alijibu pia mara tatu na kusababisha taratibu zingine ikiwemo matambiko kuendelea.
Ilituchukua masaa matatu katika kukamilika kwa viapo na mambo yote ambayo nilikua siyajui ila nililazimika kufanya ili nisije kuharibu mambo.
Tulipitishwa kwa wazee waliokua wamekaa kwenye meza kuu na kupewa Baraka zao. Baada ya hapo tulirudi mbele ya jaji na yeye akahitimisha kwa kuwatangazia viumbe waliokuwwemo humo kuwa tumeshakua kitu kimoja.
Shangwe, vigeregere na vifijo zilisikika kutoka kila pande huku viumbe wote wakisifia jinsi tulivyokua tumeendana.
Tulitoka ukumbini taratibu na baada ya kufika nje ya ukumbi. Tulimuona Edward akiwa na mke wake huku wakiwa wameshika maua.
“kuanzia leo, sina ugomvi na nyinyi. Naomba mnisamehe na mpokee maua yetu kama ishara ya kutengeneza amani kati yetu.”
Aliongea Edward na kutukabidhi yale maua. Tuliyapokea na kukumbatiana nao kuonyesha kua hatukua na kinyongo nao.
Muda mfupi baadae, wallikuja wanyama wawili wakubwa wanaofanana kabisa na farasi. Ila walikua wamebeba kijumba kizuri kilichokua na magurudumu makubwa. Tulipanda ngazi na kuingia kwenye kijumba hicho tayari kwa ajili ya kwenda kula fungate.
******************
Nilishtuka kutoka kwenye usingizi mzito ambao hata sikujua nilitumia muda gani kulala. Baada ya kupapasa huku na huko ili nimuangalie mke wangu. Sikuweza kumuona. Niliamka na kuita huku nikikagua chumba mpaka chooni ambapo sikumuona pia.
Nilirudi kitandani na kukuta kikaratasi.
“najua utajiuliza kwanini nimeamua kukuotesha ndoto kama hii. Ila ukweli ni kwamba. Japo hivi sasa nimerudiana na mpenzi wangu Edward, ila nahisi bado ana uhusiano na mwanamke mwengine. Yote hayo ni makisio tu. Ila ukweli ni kwamba. Nimetokea kukupenda sana Deo. Na kama nikibainisha kua kuna ukweli juu ya hisia zangu kua mpenzi wangu ananisaliti, basi nitarudi kwako na kuifanya ndoto hii kua ya ukweli kabisa…wako akupendaye, Rosemary.”
Kikaratasi hicho kilinifanya nishushe pumzi. Sikua nawaza kabisa kua ushindi ule ni ndoto.
Nilikikagua kile chumba na ndipo nilipohakikisha kua nilikua kwenye chumba nilichopewa na Al-hadad.
Kabla sijakaa vizuri, simu yangu iliita. Nilipoangalia jina kwenye kioo cha simu yangu. Lilisomeka jina la Martha. Niliipokea haraka na kumsikiliza.
“unakuja saa ngapi baby?”
Aliongea hivyo baada ya salamu.
“jioni.. au usiku kama vipi.” Nilijibu huku nikiwa nafikiria ile picha ya jini kichwani kwangu.
“poa… I love you.”
Alimaliza hivyo nami nilipomjibu, nilikata simu.
“Hizi ndoto zingine jamani, mungu aniepushie mbali.”
Niliongea hivyo na kwenda kuoga. Niliporudi, nilishangaa baada ya kuona chumba changu kinanukia harufu nzuri ya Yule jini. Hapo ndipo nilipoamini kua, japo kua hayupo na mimi. Ila kuna ukweli kua nitakuja kuishi maisha yote ya ndoto niliyoishi na yeye.
MWISHO WA SEASON 1………………………
 
nimeinunua hela nyingi sana , naomba tu unipe pete yangu.”
Niliomba pete lakini Martha hakua tayari kunipa. Baada ya kumlazimisha sana anipe na kuona kua alikua ameamua kuing’ang’ania sana, niliamua kumuachia huku moyo wangu ukiwa haujaridhika Martha kuondoka na pete yangu niliyoiokota mbali.
*************************
Mabadiliko ya hali ya hewa ya ukaa pamoja na baridi kwa pamoja. Ndio vilivyoufanya moyo mpweke wa jini aliyeshindwa kuvumilia kukaa mbali na mpenzi wake kwenda milimani kumtafuta mpenzi wake.
“Edward, we need to talk”
(Edward, nahitaji kuongea na wewe)
aliongea Rosemary baada ya kuonana na Edward ambaye alikua amesimama kwenye ncha ya mlima.
“It’s over Rosemary, there is nothing between us”
(nimemaliza mkataba na wewe. hakuna cha ziada kati yetu.)
aliongea Edward na kumfanya Rosemary ajiinamie chini kwa sekunde kadhaa.
“I can imagine how hateful you feel to me right now. But remember we won’t travel all this miles away from home for break up. We come down here to become happiest couple whoever exist in our world and not to hurt each other s heart. I still need you Edward.”
( naweza kuvuta picha jinsi ulivyo na chuki juu yangu sasa , lakini kumbuka hatukusafiri umbali wa maili zote hizi toka nyumbani kwa ajili ya kuachana. Tumekuja huku ili tuwe wenzi wenye furaha zaidi ya wenzi wowote waliopata kutokea katika ulimwengu wetu na sio kuumiza mioyo yetu. Bado nakuhitaji Edward.)
aliongea Rosemary huku sauti yake ikionyesha mitetemo ya mifereji ya machozi yaliyojaa kwenye macho yake.
“who start all these and destroy all the happiness love which was exist between us? Who start all that ridiculous thing and jump here and there like crazy. I got hurt you know, I don’t want to get pain anymore .”
( ni nani aliyeanzisha yote haya na kuharibu penzi lote la furaha lililokuwepo kati yetu? Nani alianza mambo ya kiijinga na kuruka huku na kule kama mwenda wazimu? Hata mimi nina moyo unalijua hilo? Sitaki kuumia tena.)
aliongea Edward bila kumuangalia Rosemary ambaye kwa wakati huo alishaanza kudondosha machozi.
After stay away from you, I knew how impontant you are in my life. It more than my strength of fry all over the sky and to change blue color to yellow.”
(baada ya kuwa mbali na wewe, ndio nimeuona umuhimu wako na jinsi gani ninavyokuhitaji katika maisha yangu. Ni zaidi ya uwezo wangu wa kupaa angani na kubadilisha rangi ya bulue kuwa njano. Nimegundua makosa yangu na sasa nipo tayari kukuomba msamaha.” Alilalamika Rosemary.
“you may be able to change blue to yellow but you’re not able to change the hate I have on you and to make me love you again.”
“unaweza kubadilisha blue kuwa njano lakini huwezi kubadilisha chuki niliyokua nayo juu yako na kunifanya nikupende tena.” Aliongea Edward na kumfanya Rosemary aanze kuangua kilio. Sauti nzuri lakini iliyokua na uwezo wa ajabu wa kuyakusanya mawingu meupe n akuyabadilisha rangi na kuwa wingu jeusi ambalo lilianza kuteremsha mvua kwa kasi ya ajabu.
”Why you are doing this to me Edward, I love you so much am not ready to lose you”
(kwanini unanifanyia ivyo Edward, nakupenda sana na sipo tayari kukupoteza.)
aliongea Rosemary na kumfanya Edward ageuk e na kumtazama msicha huyo wa kizungu aliyekua amepiga magoti huku mvua hiyo ikiendelea kuwalowanisha wote wawili.
“Well, you lose me already since you drop that ring down the from the mountain, you won’t care about all that love I had when I put that ring to your finger”

(ungelikua wangu nab ado unanihitaji, usingeiachia pete niliyokuvicha kwa mapenzi makubwa idondoke chini yam lima.) aliongea Edward na kuanza kondoka.

“I wasn’t myself back there, I don’t know what I was doing, please honey, forgive me I promise I will find it at all coast but please honey give me another chance.”
( sikuwa mimi wakati ule, sikujua hata anilichokuwa nakifanya, tafadhari mpenzi, nisamehe, na kuahidi nitaitafuta pete kwa gharama yoyote lakini tafadhari nipe nafasi nyingine.)
aliongea Rosemary ambaye alikua bado amepiga magoti pale chini.
“not without a ring, rosemary, I want that ring back on your finger , perhaps we can talk , right now you do nothing but make me lose my temple “
(siwezi kufanya hivyo bila ya pete, Rosemarry, nahitaji pete irejee kwenye kidole chako, labda hapo tutaweza kuongea, sasa hivi hakuna unachokifanya zaidi ya kunifanya nighadhabike tu.)
aliongea Edwar na kumuangalia Rosemary bila kupepesa macho. Alibadilika na kuwa mfano wa popo mkubwa na kupaaa kwa kasi angani.

*************************
Baada ya siku tatu toka mpenzi wangu atoke nyumbani, nilipigiwa simu na dada yake aitwaye Neema na kunipa taarifa ambazo zilinishtusha sana.
“kimetokea nini shemu.” Niliuliza baada ya kugundua kua aongeaye si Martha, bali ni dada yake.
“yaani hata sijui nisemeje Shemu. Yaani ninavyokuambia muda huu, tumemfunga Martha kamba miguuni na mikononi. Anaongea maneno yasiyo eleweka na alishaanza kuvua nguo. Kiufupi Martha kapatwa na kichaa cha ghafla.” Aliongea shemeji yangu huyo na kunifanya nipigwe na butwaa.
“sasa mmechukua hatua gani shemeji yangu?.” Niliuliza baada ya kuona mambo yameshakua magumu.
“hakuna tulichokifanya hapa zaidi ya kumuangalia tu. Kama vinazidi ndio tumpeleke Muhimbili kwa uchunguzi zaidi.” Aliongea shemeji yangu na kunifanya niingiwe na wasi wasi.
“basi nitakuja hapo shemeji yangu.”
Niliongea na kuchukua jezi yangu niliyoitundika kwenye enga na kuivaa. Nilitoka haraka na kwenda kituo cha basi na kuchukua daladala iliyonifikisha mpaka kwakina Martha.
Nilibaki nimepigwa na bumbuwazi baada ya kumuona Martha akiwa anaongea maneno yasiyo eleweka huku akicheka cheka bila kuchekeshwa na kitu chochote.
“tumpelekeni hospitali jamani.” Nilitoa wazo baada ya kuona hakuna uzima kabisa kwa mpenzi wangu huyo.
Baada ya kufika muhimbili na kupokelewa na madokta wa magonjwa ya akili, tulipewa tarehe ya siku atakayopimwa na kuchukua majibu.
Wakati tunarudi, nilijikuta nimekumbuka kua kwenye kidole cha Martha hakukua na pete ile aliyoichukua kwangu kinguvu.
“samahani shemu, nilimpa Martha pete yangu alipokuja nyumbani na pale simuoni nayo. Kuna mahali alifanikiwa kuihifadhi kabla ya kupatwa na kichaa?” niliuliza baada ya kufika kituoni tukiwa tunasubiri usafiri wa kurudi nyumbani.
“leo hii tunvyoongea ndio tulikua wote wakati tunaiuza hiyo pete. Yaani haikupita hata masaa mawili toka tumerudi, ndio yakatokea haya yaliyotokea.”
Baada ya kuambiwa maneno hayo, nilikata tamaa ya kuipata pete yangu tena. Nilijikuta nimejisikia vibaya sana baada ya kusikia mpenzi wangu ameuza pete yangu tena bila kunishirikisha wala kuniomba afanye hivyo.
Ila nilipo yapimisha na madhila yaliyompata, niliona sio sawa kujali pete wakati mwenzangu amekumbwa na tatizo kubwa ambalo hata mimi limeniumiza na kunihuzunisha sana.
ITAENDELEA

Martha kajitakia mwenye... kilanga kimemponza...

Pete kwanza kaichukua kinguvu kwa jamaa yake, alafu bado anaenda kuiuza bila ridhaa yoyote...


Cc: mahondaw
 
RIWAYA…..THE MAGIC RING ( 06 )
MTUNZI….. HUSSEIN O. MOLITO

+255 (0)718 97 56 59
+255(0)765 68 48 70

Nilimkuta analia huku akinishika mikono yangu kama avile alikua anahitaji msaada wa kum kalisha. Nilimnyanyua na kumshika begani na kumpa pole.
“nimepewa taarifa mbaya kuhusu mke wangu. Amedondoka na baada ya kupelekwa hospitali majibu yamesema ame pooza mwili mzima. Hawezi hata kujinyanyua. Na chanzo ni pale tu alipoivua ile pete.” Aliongea na kniangalia kwa macho ya huruma.
“ndio maana nikakuambia kua hiyo pete inanitesa. Hata mpenzi wangu amekua chizi. Na Yule aliyekuuzia pete nae amepooza hivyo hivyo. Cha msingi ni kurudi tu Tanzania na kunipa hiyo pete niirudishe kwa mwenyewe. Anaweza kumrudishia uzima wake mke wako na wote waliopata madhara kutokana na pete hiyo.” Nilimpa huo ushauri. Na hapo hapo akachukua simu na ku oda tiketi mbili za kesho kwa ajili ya kurudi Tanzania.
Baada ya madaktari kuhakikisha kuwa Al-hadad yupo salama na anaruhusiwa kuendelea na mambo yake kama mkawaida. Walimruhusu.
Tulienda wote hotelini na yeye na kunilipia chumba ambacho hakikua mbali na chumba alicholipia yeye.
Asubuhi na mapema niliamka huku nikiusikilizia muda wa kwenda airport kwa ajili ya kurudi Tanzania.
Ilikuja gari kutupitia na mimi pamoja na mkurugenzi wa TBU tukapanda gari moja na kupata nafasi ya kunena maneno mawili matatu na tajiri huyo. Umoja huo uliendelea hadi kwenye ndege ambapo tulikaa siti za karibu kabisa huku mimi akinipa nafasi upande wa dirishani baada ya kuniuliza napenda kukaa upande gani.
Tukiwa angani baada ya ndege kuruka, niliwaza sana kufika haraka na kufanikiwa kuipata pete hiyo. Niliamini hiyo ndio itakua furaha yangu kwa sababu nilishachoshwa na maisha ya kufuatiliwa na viumbe wa ajabu.
Tulitua uwanja wa ndege wa taifa wa mwalimu nyerere na tukapokelewa na wafanyakazi wa Al-hadad waliyekuja na magari ya kifahari maeneo hayo.
Msafara huo wa gari tatu uliishia kwenye hospitali ya kimataifa agakhan na kwenda moja kwa moja kwenye chumba alicholala mke wake na kumuona akiwa amelala huku akiwa hana uwezo wa kusogeza kiungo chochote.
Al-hadad aliia sana baada ya kumuona mke wake akiwa katika hali kama ile. Alikua anampenda sana na kitu kilichompoozesha ilikua ni zawadi ambayo aliamni itamfurahisha kwa sababu mke wakea likua anapenda sana pete. Hakujua kua pete hiyo ingeweza kumlaza mke wake huku akiwa amepooza mwili mzima.
Baada ya kutoka hospitalini, tulienda nyumbani kwa Al-hadad ambapo huko tulimkuta mlinzi ambaye alitupa majibu ya kushangaza baada ya kuulizia kupooza kwa mke wake.
“hiyo pete nani aliichukua baada ya mke wangu kuanguka??” aliuliza Al-hadad baada kuona hakuna dalili zozote za kuwepo kwa pete hiyo maeneo hayo.
“pete nimeitupa.” Aliongea huyo mfanyakazi na kunifanya nitoe macho kama ktu aliyesikia taarifa za msiba wa mtu ninaye mtegemea kwa ajili ya jambo Fulani la muhimu kwake.
“umeitupa?” aliuliza A-l hadad kwa mshangao mkubwa.
“ndio bosi… sasa si nilipomuona mama anahangaika huku pete yake ikiwa pembeni, ndipo niliamini kua ile pete ndio inamtesa.” Alijibu Yule mlinzi huku akijiona hana hatia yoyote zaidi ya kustahili pongezi kwa kitu alichokifanya.
“twende maeneo ambayo umeitupa hiyo pete.” Aliamuru Al-hadad na wote tukaenda huko kwa ajili ya kuitafuta hiyo pete.
Tulihangaika sana kuitafuta huku tukimuuliza kua labda kuna mtu alimuona wakati anatupa, lakini alikanusha na kusema kua hakuna mtu mwengine aliyeingia mle ndani zaidi yake.
Vifaa mbali mbali vya kuchunguzia madini vililetwa baada ya Al-hhadad kuagizia kutoka ofisini ambapo hapakua mbali na anapoishi.
Mpaka kiza kinaingia , hatukuweza kufanikiwa kuiona hiyo pete.
Nilivuta taswira na kujiona mtu niliye feli kutokana na kua siku hiyo ndio siku ambayo Yule jini aliniambia kua alikua anaondoka na kurudi kwao.
Niliwaza sana jinsi atakavyo nitokea kwa ajii ya kunipa adhabu kwa kutomletea pete kwa wakati. Pia niliwaza ni jinsi gani naweza kuwaponyesha watu walio pata madhara kutokana na pete hiyo ambayo naamini kila ikitua kwa mtu lazima ilmletee maradhi ya kupooza.
Usiku ulipokua mkubwa, nilienda kulala kwenye chumba cha wageni kilichokuwepo kwenye jumba hilo la kifahari. Sikuweza kupitiwa na usingizi huku mawazo yangu na macho yangu yalikua yakicheza kwenye saa kutokana na kuijua mida anayokuja.
Mshale ulipogota na kusoma kua ilikua saa tisa juu ya alama, nilianza kuisikia harufu nzuri iliyokua inaisikia kwenye ndege. Nilitulia tuli huku nikipanga na kupangua.
Harufu hiyo ilizidi kunukia nyuma yangu na kunifanya nigeuze shngo yangu na kugeuka nyuma.
nilikutana na jini huyo aliyekua amependeza sana kuliko siku zote.
“najua kua umefanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha kua unaweza kuipata pete yangu. Nikupongeze kwa hilo kwa sababu umeonyesha hali kwa moyo wako. Nina kila la kujivunia kwako kwa juhudi ulizozionyesha. Nimekuja na mambo mawili muda huu, jambo la kwanza ni kukutoa hofu na kukuambia kua ile pete nimeshaipata. Na jambo la pili ni kukuaga kua naondoka na sitarudi tena kukusumbua. Ni hayo tu. Kama una la ziada la kuniambia kabla sijaondoka, unaweza kusema.” Aliongea jini huyo na kunionyeshea hiyo pete. Hapo aliweza kunifanya nishushe pumzi zangu huku tabasamu hafifu likichomoza kuashiria kufurahia taarifa zile.
“mimi nina ombi tu kutoka kwako. Warudishie afya zao wale wote waliopata madhara kutokana na pete hiyo. “ niliongea huku nikimtazama jinni huyo ambaye muda huo alikua anatabasamu huku macho yenye viini vya bluu ambayo kwa sasa havikunitisha zaidi ya kuona vimemuongezea muonekano mzuri jini huyo aliye kuja ki amani.
“najua ni jinsi gani unavyofurahi , hata hivyo nakuondoa hofu kwa kukuambia kua kila aliyeathirika na hii pete, yupo safi na wa afya kama zamani. Ila nitafurahi uwaache walale ili waamke asubuhi wakiwa na furaha kama uliyokua nayo wewe.” Aliongea Yule jinni na kunifanya nifurahi sana . hali iliyonifanya nijisahau mpaka nikamfuata na kutaka kumkumbatia, aliyeyuka na kutokea upande mwengine.
“mwili wangu huguswa kwa taarifa kwanza kabla ya kitendo. Haya kwa sasa unaweza kunikumbatia.” Aliongea Yule jinni na kuonyesha mikono ya utayari kwa ajili ya kumbatio langu.
Sikua na uoga tena kutokana na sura aliyokuja nayo siku hiyo. Pia maongezi yake yalionyesha wazi kua alikua na sauti nzuri ukiachana na ile aliyokua anaitumia kunitisha.
Taratibu nilimsogelea na kumkumbatia. Nilihisi ubaridi mkali kutoka kwenye mwili wake alikua kama mtu aliyekufa vile kwa jinsi alivyokua.
Hata hivyo niliweza kugundua kua hata jini huyo alikua amekipata kitu ambacho hajawahi kukipata kama hakuwahi kukumbatiana na binaadamu. Ni joto lililmfanya aheme kwa nguvu na kutabasamu huku akinikumbata kwa nguvu ili alipate joto hilo vizuri.
Tuliachiana huku kila mmoja akimuangalia mwenzake na kumfanya Yule jini kuaga.
“nakutakia maisha mema.” Aliniambia na kuaniangalia huku anatabasamu.
“nawe pia.” Nilimjibu na kumpungia mkono baada ya yeye kuanza kupotea taratibu kwenye dirisha kupitia kwenye kioo kilichofungwa.
Sikuamini kua kweli nimemalizana na jini huyo na hawezi kunitokea tena katika maisha yangu.
ITAENDELEA
Hapa kuna harufu ya jamaa kuanzisha mapenzi/mahusiano na jini...

Watakuja kupendana hawa, alafu vita ije kuanza kati ya binadamu na majini...


Cc: mahondaw
 
RIWAYA…..THE MAGIC RING ( 8 )
UHARIRI…. HAZRAT HUSSEIN
+255 (0)718 97 56 59
+255(0)765 68 48 70

Uzito wa mahaba ya Edward ulianza kuonekana baada ya kutengana kwa muda wa wiki moja tu. Rosemary alishindwa kula wala kupata usingizi mzuri. Alishindwa hata kuyafurahia maisha japokua alikua na uwezo wa kutembea ardhini na kupaa angani pasipo mipaka. Mateso ya moyo yaliyo muonyesha udhaifu wake juu ya mwanaume huyo aliyeziteka hisia zake, ndizo zilizomshawishi awe mpole na kukubali kurudi kwake na kupiga magoti kwa mawanaume huyo aliyempa majaribu ya kitafuta pete. Hata hivyo Edward anaonyesha kutomjali zaidi ya kuichukua hiyo pete kwa ajili ya kwenda kumvalisha mpenzi wake mwengine.
Mahaba niue yalimshinda Rosemary na kumfanya ahame alipokua ana kwenda mbali kabisa na mji kutokana na aibu ya kuachwa na Edward ambaye kwa sasa alitangaza wazi kua ameshampanda mpenzi mpya tena fundy mwenye rangi mbili.
Rosemary aliumia sana na wakati wote alikua wakulia tu. Na hakupata nafasi hata ya kusubiri ya kujishusha mbele ya mwanaume huyo aliyekua kama lulu moyoni mwake.
Hakuweza kuonana nae, ila alisikia kila kitu kutoka kwa watu waliomwambia kila kitu kinachoendelea kwa wapendanao hao wapya waliozidi kuupasua moyo wake.
Alishindwa kabisa kuvumilia kukaa kwenye jamii yao. Na hapo ndipo wazo la kwenda kwa mtu aliyemtesa kwa ajili ya kutafuta pete lilipomjia. Tabasamu lililo potea kwa takribani miezi mitatu, lili rudi tena na kujitokeza kwa mara ya kwanzo usoni mwake.
“naipenda Dunia.” Aliongea Rosemary na kunyaynyuka. Aliyatoa mabawa yake na kuanza kuruka kwa kasi mpaka kufikia usawa wa mipaka yao na ulimwengu.
********************
Miezi mitatu baadae toka matatizo yale ya kusakamwa na jini kuisha. Maisha yangu yalibadilika sana. Sikua Yule wa kutafuta dili za mizigo tena kutoka kwa watu walio nidhalilisha kila siku kwa kuniita majina ambayo nilikua nayachukia. Sasa hivi nilikua naheshimika sana na kila mtu alitamani hata kukutana na mimi.
Jina kubwa nililo libeba baada ya kutokea kwenye vituo mbali nbali vya televisheni kama mtoto wa mwarabu na tajiri mkubwa wa madini. Al- hadad.
Maisha ya kitajiri, yalinibadilisha kuanzia mwili mpaka mavazi. Nilijitahidi sana kupiga pamba na kuwa mtu ninaye lingana na hadhi ya nyumba niliyokua naishi.
Nilipewa gari moja ya kupigia misele ambayo nilikua nawekewa mafuta kwa ajii ya kutembelea tu mitaa ya matajiri na watoto wa matajiri wenzangu.
Watu hawakujua kwa nini Al-hadad alinitambulisha kama mtoto wake mpendwa, ila nyuma ya pazia nilimshukuru sana Mungu kwa kumleta Yule jini karibu yangu. Maana ile pete ndio imesababisha kila kitu.
Mara kadhaa nilienda disco na kukutana na watoto wazuri ambao nilibaki nimechanganyikiwa na sikujua nimchukue yupi. Fedha ilikua inaruhusu hata kununua wasichana ghali kutoka mataifa mengine waliokua wakijiuza kasino.
Moyo wa upendo uliodondokea kwa Martha ndio uliokua unanisuta na kuniambia kua yupo anipendaye. Na hata kama akiwa chini ya kiwango, kwa fedha zangu nitaweza kumbadilisha.
Mawazo hayo yakija, ndipo hujikusanya na kuingia kwenye gari yangu hadi uswahilini kwao.
“naona shem leo mambo sio mabaya.” Alinitania shemeji yangu baada ya kuniona nimetupia pamba mpya ambazo hajawahi kuziona.
“kawaida tu shem. Vipi, Martha nimemkuta?”niliuliza baada ya kuona utulivu uliokuwemo.
“hayupo… ila amesema hato chelewa kurudi.”aliongea dada yake Martha.
“sawa,… ila akirudi utamwambia kua namtafuta.”
Niliongea na kufungua pochi na kumuachia dada yake shilingi elfu ishirini na kuondoka zangu. Wakati napita njia ya mkato kutokea kwao, niliishuhudia Tax ikiingia maeneo hayo huku kioo kilichoshuka nusu kikionyesha uhalisia wa macho ya mpenzi wangu Martha.
Yeye hakuniona kutokana na yeye alikua anaangalia mbele ambapo uelekeo wa ile taksi ulikua haumruhusu kuniona mimi niliyekua upande wa pili.
Nilimpigia simu. Safari hii iliita baada ya muda mrefu kutopatikana. Cha ajabu hakupokea. Ila baada ya kupiga mara ya pili na kukatiwa simu, ilinipa shaka na kunifanya nigeuze gari na kuanza kuifuatilia. Nilisimama mballi kidogo na kumshuhudia mpenzi wangu akishuka gari na mwanaume mwengine na kuingia ndani kwao huko wakiwa wameshikana viuno.
Sikutaka kuishia hapo, nilitembea taratibu na kuingia ndani na kuwakuta wakiwa kwenye utambulisho mzito.
Niliweza kuwaona wakiwa wana weweseka mtu na dada yake huku Yule mwanaume akiwa anawaangalaa kwa zamu bila kuelewa ni kitu gani kilichowafanya wawe wadogo ghafla.
Sikuongea chochote zaidi ya kugeuka na kuondoka. Nilipanda gari yangu na kurudi nyumbani kwangu.
Nilijua kua sikua peke yangu wakati niliokua na dhiki na yeye alipokua anahitaji mahitaji makubwa ambayo kikawaida siwezi kummiliki. Sasa hivi tayari nimekua mmoja wa watu ambao wana fedha kutokana na kupewa hela za matumizi zilizoweza hata kulipia holteli nzuri kwa usiku mmoja. Hapo ndipo nilipoumia zaidi. Nimegewe nikiwa umasikini na hata nikiwa na hela bado tu nipokonywe?
Hilo ndio swali lililonifanya nijione nipo tofauti sana na watu wengine. Mimi nilitakiwa kua mtu wa kula bata na watu ndio niwapange foleni na si mimi kupangwa.
Ujasiri wa kuanza kumfuta kuanzia kwenye kitabu cha simu yangu mpaka moyoni ukaja na hapo ndipo utekelezaji wake ulipofuata.
Nilichelewa kidogo kupata usingizi. Na ilinichukua takribani masaa matatu kutafuta usingizi ambao ulikuja kwa nguvu zote.
Nilihisi kama ndoto baada ya kumuona msichana mzuri akiwa amekaa kitandani kwagu huku akiwa bado ana nguo zake. Muda wote alikua anatabasamu na kila nikimuagalia alinikonyeza.
Macho yalikumbwa na uzito wa kufumbuka kutoka na kilo nyingi za usingizi zilizokua zimenielemea. Ila utamu wa muendelezo wa maono hayo. Nilijitahidi kufumbua macho yangu kiugumu na kupuuzia mbali jinsi nilivyoweza kuutafuta usingizi huo kwa gaharama kubwa.
“ooh my god,.. wewe tena?”
Niliuliza baada ya kuona sura ya Yule jinni akiwa amerejea.
“sijaja kwa ubaya … ila ni furaha sana baada ya kukukuta unawaza maisha ya ndoto zako za baadae.” Aliongea Yule jini na kunifanya na mimi nikae kitandani. Mpaka wakati huo, usingizi ulipeperuka kabisa na kutobaki hata lepe.
“sijakuelewa bado… una maanisha nini?” nilimuuliza huku nikimtazama usoni ambapo bado alikua anazidi kutabasamu.
“namaanisha kua nimekuja kwa amani hivi sasa. Na napenda ui yonapo sura hii uwe unatabasamu wakati wote. .” aliongea na kunifanya nimuangalia vizuri. Niligundua utofauti wake na watu wa kawaida. Pia uzuri wa sura yake na shape ya kizungu aliyokua nayo. Vilnifanya niondokewe na hofu kabisa niliyoanza kuipandisha baada ya kumuona.
“karibu.” Nilijikuta nimeongea hivyo huku nikimuangalia na kuzidi kumkagua kwa macho.
“naomba nikuache ulale, nitakutembelea kesho nikupe issue.” Aliongea Yule jini na kuniacha kwenye njia panda.
“issue,… issue gani tena?” niliongea na kunifanya nihisi kazi za lawama kurudi tena.
“ni issue kubwa itakayokufanya ufikie malengo yako yote uliyokua unaota kufika. Lakini kwa masharti machache tu kama kweli utakua tayari kuyafuata.” Alongea Yule jinni na kunifanya nizidi kuwa na hamu ya kutaka kujua kua hiyo issue ni ipi.
“nidokeze kidogo basi ili nijue.” Niliomba chabo ilimradi mtihani usiwe mgumu sana kwangu.
“nitakuona kesho…. Bye.”
Hakunijibu zaidi ya kuniaga na kuondoka zake. Hapo ndipo kichwa kilipozunguka na kutafakari ni issue gani itakayonitimizia ndoto zangu zote. Hilo ni swali ambalo majibu ali kua nayo Yule jini mwenywe.

Aliniachia harufu nzuri chumbai kwangu iliyodumu mpaka kunakucha.
Asubuhi hiyo iliyonifanya niamke bila kuonyesha uvivu wowote. Nilianza kufanya mazoezi ya viungo. Baada ya kumaliza, nilirudi nyumbani kwa ajili ya kupata chai na kuendelea na ratiba zangu zingine kwa siku hiyo.
Baada ya kula chakula cha mchana, nilioka na kwenda kupata upepo kwenye fukwe za coco Beach. Nilitulia huku nikiangalia watu waliokua wakiogelea na wengine wakionekana wakiwa wanakatiza huku na huko ilimradi watu wanaendelea waliokuwepo siku hiyo walizidi kunifaya nisijione mpweke.
Ghafla nilijikuta kuna harufu nzuri inatoke nyuma ya kitinilichokaa.niligeuka nyuma na kumkkuta Yule jinni akiwa amevaa bikini na mtandio huku maziwa yake yaliyosimama wima yakiwa yamefunikwa kwa asilimia thelatini kuzibaba chocho zake na sidiria ndogo iliyofanana rangi na bikini aliyoivaa.
“unapenda kuogelea.”
Aliongea maneno hayo baada ya kunyanyuka na kunisogelea pale nilipokaa.
“sio sana.” Nilijibu na kumgeukia. Sikua namuogopa tena kwa sababu nilikua najua kua sina kesi nae.
“mimi napenda sana kuogelea. Tunaweza kwenda kuogelea wote?” aliniuliza na kunifanya ninyamaze bila kujibu kitu chochote.
“twenda basi.” Aliongea huku akiwa amenishika mkono na kuninyanyua.
Niliamka na kuanza kumfuata huyo jinni wa kizungu aliyekua na uzuri unaotofautiana kabia na wazunguninaowajua. Hakufanana na wamarekani wala hakuna taifa ambalo niliweza kuotea atakua katoka huko.
Watu wengi walinigeuza bango kwa kuniangalia na kunishangaa kutokanana na kuongozana na mzungu huyo ambaye alikishikilia kiuno change vizuri kabisa.
Tulienda kukodi boya na baada ya hapo, nilivua nguo zangu na kubaki na Boxer na kwenda naye kwenye maji.
Ubaridi wa mwili wake ulikua kama nimekumbatia barafu. Ila chaajabu. Nilikua nasikia ladha tofauti kabisa iliyokua na kila aina ya utamu pale alipokua akinipapasa kwa mikono yake hiyo ya baribi.
Tuliyacheea maji vya kutosha huku yeyeyakinionyesha ufundi wa kuyakata maji kwa kuzapa upande mmoja na kuibukia upande mwengine wa mbali zaidi.
Ilipofika saa kumi na mbili. Tulitoka na mimi nikaenda uvaa nguo zangu. Yeye hakupata shida. Maana nguo zilitokea kimiujiza tulipokua tumeshapanda wote gari.
“naomba tafuta eneo lolote tulivu tuongee.” Aliongea Yule jinni . name sikubishazaidi ya kufuata alichoniomba.
Tulifika kwenye hoteli moja kubwa katikati ya jiji na kukaa kwa ajili ya mazungunzo hayo aliyoniitia.
“najua kua hulijui jina langu. Mimi naitwa ROSEMARY. Na nimefurahi sana kukutana na wewe japokua hatukukutana kiamani hapo mwanzo. Na sasa nazidi kuufurahia uwepo wako karibu yangu.” Aliongea Yule jinni na kunifanya nivute chupa yangu ya soda na kuimimina kwenye glass taratibu kisha nikapiga fundo moja na kumuangalia huyo jinni.
“hata mimi nilikua najuta sana baada ya kukutana na wewe na nikahisi umekuja kuniharibia muelekeo wangu wote wa maisha. Llakini kadri siku zinvyozidi kwenda nilijikuta napiga hatua tofauti hadoi kufikia kupanda ndege. Mpaka hivi sasa naishi maisha mazuri, yote ni kwa sababu ya pete yako. So naweza sema kua nafurahia uwepo wako kwa sasa kwakua nina amani moyoni.” Niliongea na kumfanya Yule jinni atabasamu.
“umechukua uamuzi gani baada ya kumfumania msichana wako.” Aliuliza Yule jinni na kunifanya nishtuke kidogo. Nilitamai kumuuliza kua alijuaje, ila wazo la kua nilikua naongea na kiumbe tofauti na binaadamu, ndio lilinifanya ninyamaze.
“imeniuma sana kwakweli, maana kama ningekua najua kua itakuja kutokea kitu kama kile, basi nisingethubutu kukanyaga mguu wangu kule… ila sioni haja ya kupanga foleni na Yule msichana. Pia sioni haja ya kuendelea kumpenda mtu ambaye hathamini mchango wangu.” Niliongea kinyonge na kumuangali Rosemary na kumuonajinsi alivyokua na sura ya huzuni juu yangu.
“pole, ila yote ni mapito na mimi nitakuonyesha jia nzuri ya mafanikio ya ndoto zako.” Alirudia huyo kauli na kunifanya niikumbuke hasa aliponiambia usiku.
“toka jana unaniambia utanitimizia malengo ya ndoto zangu. Kwani wewe unajua mimi nawaza nini?” niljikuta nimeuliza huku macho yangu nikiwa nimeyatuliza kwake.
“najua kua ndoto zako ni kuwa maarufu kupitia fani yoyote ile. Najua ni jinsi gani unapenda ufanye kitu ambacho kitaishangaza nchi kama si dunia kwa ujumla. Hivyo na vingine vingi vipo chini ya nyayo zangu. Ina maana nafahamu ufanye nini ili ufikie malengo hayo ambayo ni ndoto kwako kuyafikia.” Aliongea Yule jinni na kunifanya niamini kua kweli alikua anajua kila kitu kuhusu mimi. Hadi vitu ninavyowaza kufanya hko mbele.
“unahitaji kufikia malengo ya ndoto yako?” aliniuliza swali lililonifumbua kutoka kwenye mawazo mazito niliyokua nawaza juu yake.
“yeah.” Nilijibu haraka.
“unatakiwa uanzishe uhusiano wa kimapenzi na mimi. Kila unachokihitaji kwenye dunia hii utaweza kukipata.” Aliongea hayo maneno na kunifanya nibaki nimetumbua macho kama mjusi aliyebanwa na mlango.
ITAENDELEA
Sasa je... nilijua tu, watatakana...

Ona sasa jini Rosemery tayari kaangukia kwenye penzi la binadamu...


Cc: mahondaw
 
RIWAYA…..THE MAGIC RING ( 10 )
MTUNZI….. HUSSEIN O. MOLITO
+255 (0)718 97 56 59

Niliitikia huku nikijaribu kufikicha macho yangu kuona ni kiumbe gani huyo atatokea.
Aligeuka na kuwa ndege mweusi kama popo lakini kichwa chake kilifanana kabisa na Tai lakini hakikua na manyoya. Macho yake yalikua mekundu sana na yaliyokua yana waka.
“panda tuondoke.”
Sauti nzito ya ndege huyo ilinitetemesha kidogo. Lakini nilijikaza kiume na kuondoa uoga niliokua nao na kupanda kwenye mgongo wa ndege huyo mkubwa. Kama masihara, Yule ngege alianza kupeperusha mbawa zake name nikaanza kupaa huku nikiwa nimemshikilia vizuri ili nisi dondoke.
Kufumba na kufumbua, tulifika juu kabisa ya mlima na kunishusha. Aliniangalia na kubadilika kutoka kwenye umbo la Yule popo na kua kiumbe wa kawaida.
“tunakaribia nyumbani, naomba chochote kitakacho kukuta uchukulie ni sehemu ya mtihani wako kwetu.” Aliongea Rosemary na kunifanya nishushe pumzi ndefu.
Tulitembea kwa mwendo wa dakika kama ishirini hivi na kufika kwenye mji ambao ulikua na viumbe wenye rangi tofauti na Rosemary.
“wale ni wakina nani?” niliuliza baada ya kuona utofauti wao hata katika maumbile.
“waleni majini wa asili ya huku. Ni tofauti sana na mimi kwakua mimi ni mtoto wa msimu. Huzaliwa mtoto mmoja tu kwa mwaka katika jamii yote mwenye rangi na maumbile kama yangu.” Aliongea Rosemary na kunifanya nitulie na kusubiri mambo yanayoendelea kutokea kwenye safari hiyo.
Tulifika nyumbani kwao na kukaribishwa na wazazi wake. Kila kiumbe alikua ananishangaa huku macho yao yakionyesha hofu juu yangu.
“karibu nyumbani Deo.” Alinikaribisha Rosemary na kunipa kiti.
“nimeshakaribia.” Niliongea huku macho yangu yakiwa chini baada ya kushindwa kuwatazama wazazi wake waliotisha kidogo kutokana na maumbo yao.
“baba, mama… huyu ndio chaguo langu jipya. Ananipenda na mimi nampenda pia. Hivyo nahitaji kufunga ndoa naye.” Aliongea Rosemary huku akiwa amewapigia magoti wazazi wake.
“huyu ni nani na ametokea wapi?” aliuliza baba yake kwa ukali . sauti yake ilinishtua na kunitetemesha sana. Maana niliona kama vile ndio nimetelekezwa ugennini ambapo nikifa hata ndugu zangu hwatapata taarifa wala kunizika.
Nilinyayua macho yangu na kumtazama baba yake huku moyo wangu ukiwa umeshajaa hofu.
“huyu ni binaadamu na anatokea duniani. Yote kwa yote baba. Naomba usimkatae mpenzi wangu.” Aliongea Rosemary na kumuangalia baba yake ambaye alikua bize kuniangalia na kunikagua.
“sasa ukichanganya damu na binaadau, utazaa kiumbe gani wewe?” aliuliza mama yake ambaye daima hakumvunja moyo mtoto wake.
“mimi ni Fundy, hivyo nina muelekeo tofauti na nyinyi wazazi wangu. Hivi kuna kiumbe yoyote humu ameshawahi kuishi na binaadamu. Huoni kua naweza kua fundy wa kwanza kuleta kiumbe tofauti?” aliuliza Rosemary.
“hakuna kiumbe yeyote anayeweza kuishi na binaadamu zaidi ya Fundy. Acheni anioe na mimi nitangeneze familia yangu.” Aliongea Rosemary na kuwafanya wazazi wake waangaliane kwa muda.
“tunahitai furaha kutoka kwako. Kama unahisi kua huyu anatosha kua furaha yako, basi tunakuachia uhuru huo.” Aliongea baba yake na kunifanya nishtuke kidogo. Maana nilihisi kua amani ingetoweka muda sio mrefu. Ila kwa maelezo hayo, yalitosha kunifahamisha kua hakukua na matatizo kwa wazazi wake.
Nilionyeswa sehemu ya kulala na kwenda kupumzika baada ya kupata chakula cha usiku. Kilikua chakula tofauti na vyakula vya huku. Ila nililazimika kula kwa sababu hakukua na vyakula vingine zaidi ya hivyo.
Nilijikaza kiume na kula chakula hicho na kwenda kulala. Asubuhi ya siku ya pili, niliamshwa na kupelekwa jangwani. Huko nilikutana na majini wakubwa waliokua wananisubiri ili wanifanyie mila zao. Nilivuliwa nguo zangu zote na kuwekekewa vidude vmgongoni vilivyinifanya nizimie.
Nilipokuja kushtuka. Nilijikuta nipo kwenye vazi jeupe huku pembeni akiwepo mpenzi wangu Rosemary.
Nnilitulia mpaka walipomaliza, baada ya hapo, ndipo tulipotolewa na kurudishwa ukweni.
“sasa hivi umeshakubaliwa na wakuu wetu. Kwa hiyo ni ruhusa kuoana wakati wowote mtakaoamua wenyewe.” Aliongea baba mkwe na kutabasamu.
Nilitulia siku hiyo na siku ya pili tuliaga na kurudi zetu ulimwenguni kwa kutumia njia ile ile tuliyokuja nayo.
Alipofika huku, alibadilika na kuwa msichana mzuri sana. Ilizidi Yule wa mwanzo. Na hapo ndipo nilipogundua kua Yule jinni alikua anaweza kubadilika na kua na sura yoyote ile aitakayo.
Niliendelea kula maisha na jinni huyo huku mshangao wa kwanza ni kunipeleka kwenye nyumba yake iliyopo masaki na kuniambia kua ni yangu kuanzia siku hiyo. Pili alinipa funguo ya gari aina ya hamer na kuniambia kua nayo ni ya kwangu.
Nilianza kua maarufu kila kona ninyayoingia na wakati mwengine wasichana waliweza kujigonga pindi nilipokua peke yangu.
Yule jini alikua si mkazi sana wa huku. Mara nyingi alikua anaenda kwao kuweka mazingira sawa katika kuhakikisha wananipa nguvu za kuruka angalau niweze kuwa na maajabu japo kidogo.
Ilikua week end moja, niilikua nimelala mchana na kuanza kuota ndoto mbaya sana iliyonifanya jasho lnitoke. Niliota nyumba yangu na gari vyote vina teketea kwa moto huku mchomaji wa vitu vyangu akibaki anacheka sana.
Niliamka na kukaa kitandani kuitafakari ile ndoto.
“jamani motoooo.”
Sauti kali kutoka nje ya nyumba yangu ilisikika. Nilitaharuki kidogo na kutaka kwenda dirishani kutazama huo moto unatoka wapi. Kabla sijanyanyuka kutoka kitandani, kwanza nilianza kuona hali ya hewa ikibadilka mule chumbani.
Mara moshi mzito ukaanza kuingia ndani kwangu. Nilipojaribu kuufungua mlaango ili niweze kutoka nje, mlango ulikua umshajifunga na haufunguki tena.
Nilirudi dirishani na kuchungulia nje. Moto ulikua unazidi kupanba huku chumba nilichokuwemo ndio kinaongoza kwa kuwaka sana.
Kabla sijajua nifanye nini, dirisha lilianza kushika mota. Hapo ndipo nilipojua kua mwisho wa maisha yangu umefikia.
ITAENDELEA
Duu! Wapo faster... mara hii washafanya matusi na kutambishana kwa wazazi...


Cc: mahondaw
 
RIWAYA…..THE MAGIC RING ( 13)
MTUNZI….. HUSSEIN O. MOLITO
+255 (0)718 97 56 59
“uluzi wako hauwezi kumfikia alipo… ni mbali sana. Kilomita 50 toka alipo Rosemary. Tena ukipiga kwa mara nyingine muda huu, utanifanye nikuue kabla ya kumaliza kujibu maswali yangu.”
Alinitisha na kunitolea panga kubwa lilikua na makali kila upande na kunielekezea shingoni. Alinigusa kidigo tu, lakini damu zilianza kutokana na ukali wa hilo panga.
Hapo ndipo nilipofumba macho yangu na kusubiri miujiza ya Mungu, maana kupona na kubaki kuwa hai tena ilikua ngumu sana kwa muda huo.
Nilifumba macho yangu huku nikivuta hisia ya kifo cha kikatili kilichokua mbele yangu. Niliwaza sana jinsi atakavyoweza kubararua mwili wangu kwa panga lake lililo kua na makali yasiyo elezeka.
“usijaribu kumgusa huyo kiumbe.”
Nilisikia sauti iliyo nifanya nifumbue macho kumtazama mtu aliyeongea. Ilikua ni sauti ya matuamaini ambayo nilitamani kuisikia muda wote. Hakuwa mwengine, bali ni mpenzi wangu Rosemary.
“kipenzi changu… nakuomba tukae chini tuyamalize. Mimi nipo tayari kuachana na mke wangu kwa ajili yako Rosemay.”
Nilisikia sauti ya kidhaifu kutoka kwa Yule mwanaume aliyeniwekea panga. Aliniacha na kumgeukia huku akiendelea kulalamika.
“ni tamaa tu zilizonifanya nikutendee yote yale. Sasa hivi ndio nameona umuhimu wako katika maisha yangu. Nakupenda sana na naumia ninapokuona na huyu kiumbe.” Aliongea Yule kiumbe huku sauti yake ikiashiria kilio kutoka kwake.
“sikiliza Edward. Hayo unayo ongea yote ni hadithi za kale kabisa ambazo kwa sasa hazina ladha masikioni kwangu. Machozi yangu ya thamani niliyadondosha kwako japokua mimi sikua mkosaji. Nilikubali kujishusha licha ya kuwa wewe ndio msaliti mkubwa wa mapenzi yetu. Ila ukaniona sina maana licha ya kunipa mtiahani wako na kuufaulu kwa wakati. Narudia kusema tena kua. Huyu ndio mwanaume nimpendae. Hata nyuumba ni kwetu wameafiki mimi kuwa nae. Pia muda sio mrefu kutoka sasa atakua na nguvu za kijini kama mimi inagawaje yeye ni binaadamu.”
Aliongea mpenzi wangu maneno yaliyonipa faraja kabisa. Sikuamini kua mpenzi wangu angeweza kunikubali mimi mbele ya Yule jini ambaye alikua ni mzuri na mwenye nguvu nyingi.
“siwezi kukubali wewe uishi na binaadamu wakati mimi nikupendae nipo. Bora tukose wote.”
Aliongea Yule jini na kumshuhudia akilichukua lile panga na kuanza kupambana na mpenzi wangu.
Mwanzoni kabisa Rosemary alionekana akihimili mtanange huo wa kuiokoa nafasi yake, lakini baada ya dakika kumi tu, niliona akiishiwa nguvu na baadhi ya sehemu za mwili wake zilianza kuloa damu kutoakana na kuchanjwa na panga kali analolitumia.
Mara nikaanza kunisikia kama kuna vitu nvinacheza cheza kwenye mikono yangu. Kabla sijagundua utofauti mwengine uliopo kwenye mikono yangu. Nilianza kuhisi kutanuka kifuani na baadae nilitanuka mwili mzima na kukata zile kamba.
Nilimuangalia mpenzi wangu ambaye alikua hoi chini kutokana na kupoteza damu nyingi.
Nilidaka kwa mkono wangu lile panga ambalo lilikua linakaribia kutua sawia kabisa kwenye shingho ya mpenzi wangu.
“huwezi kufanya hivyo kwa mwanamke nimpendaye.”
Nilijikuta naongea hayo huku nikijishangaa mwenyewe kwa jinsi sauti yangu ilivyobadilika.
Nilijikuta nina nguvu za kulipora lile panga kwa makali na kumfanya mpaka Yule kiumbe ayumbe.
Alitoa macho kwa jinsi nilivyokua na uwezo wa jabu. Alijua kua muda aliokua anauzungumzia Rosemary kua nittapata nguvu za ajabu ulikua umeshafika.
Alichokifanya ni kukimbia na kumuacha Yule kiumbe mwengine mkubwa kuniinamia kama ishara ya kuniomba niwe kkiongozi wake.
Nilimfuata mpenzi wangu na kumuweka mgongoni.
“ningekuwa na uwezo wa kupaa. Hivi sasa ninge chanua mabawa yangu na kuwahi nyumbani kumpa matibabu mpanzi wangu.”
Nilipowaza tu hivyo, hapo hapo nilijikuta nimebadilika sana mara nikaanza kusikia kama vitu viwili kwa pamoja vikitoka kwenye mbavu zangu na ndipo nillipokuja kuona mabawa yakiwa yametokea kwenye mbavu zangu baada ya seknde kadhaa.
Niliwaza kupaa. Hapo ndipo nilichokiwaza kikatokea. Nilijikuta yale mabawa yamefunguka na hapo hapo nikajibuta nimeanza kupaa huku nikiyaongoza mabawa hayo kwa fikra zangu ambazo nitakua nimeziwaza kwa wakati huo wapi nielekee.
Nilimuwahisha mpenzi wangu nyumbani na kumpaka madawa aliyonielekeza. Kisha nikampumzisha kwa muda wa masaa matatu. Alipozinduka. Nilimkanda maji na kumpaka dawa ya kukausha vidonda.
“sasa hivi umeshakua kiumbe tofauti na binaadamu wengine. Nadhani ndio muda mzuri wa kuandaa mazingira yetu kwa ajili ya kuoana.”
Aliongwea mpenzi wangu baada ya kumkumbatia kifuani kwangu.
“mimi sina kipingamizi. Nipo tayari kwa lolote mpenzi wangu.” Niliongera maneno hayo na kujikuta nambusu busu mashavuni .
“hata mimi nafurahia uwepo wako.” Aliongea na kuanza kukipapasa kifua changu.
“utaamsha mashetani yaliyolala mpenzi wangu wakati wewe mgonjwa.” Niliongea na kuutoa mkono wake ulioanza kunisisimua sehemu zangu nyeti.
“waache wapande… kiti nipo imara kuwapa chochote wanachokihitaji.” Alinijibu hivyo huku akiyalegeza macho yake malegevu na kuwa malegevu zaidi ya asili yake. Sasa alinigeukia na kutumiamikono yake yote miwili katika kuhakikisha anakipapasa vizuri kifua changu na kunifanya na mimi nimsaidie katika kutaliiw a mbuga zake kwa kuanza na maziwa yaliyofanya nianze kuhisi tukio la kihistoria kutokea.
Nilianza kuziminya chuchu zake changa huku nikizi papasa taratibu na kumfanya aanze kuhema huku mabadiliko ya mwili wake ukizidi kunipa mshawasha wa kuupapasa. Nilianza kumchojioa nguo zake huku nikivionea huruma vidonda vyake alvyokua navyo.
Baada ya mambo yote kuwa live bila chenga, ndipo nilipoanzisha mchezo huo uliotumia dakikika 120 kumalizika huku kukiwa hakuna mshindi. Kila mmoja alisikfia kiwango cha mwenzake. Na sana sana mimi ndio nilipewa sifa za pekee na kuniambia kua hakuna jinni yeyote wa jamii yao ambaye ameshawahi kupata ladha ya binaadamu kama aipatavyo yeye.
Baada ya kuamka na kumuangalia mpezi wangu, ndipo nilipogundua kua hakua na alama yoyote ile ya kuchajwa wala kidonda sehemu yoyote. Nilishangaa sana. Ila nilipokumbuka kua Yule ni kiumbe tofauti na binaadamu, sikuuliza swali tena.
“kesho twende kwa wazazi. Kufanya hivi kabla ya kuoana ni kinyume na taratibu zetu.”
Aliniambia baada ya kulala pamoja usiku na kusifiana maujuzi tuliyo onyeshana.
“sawa…. Mimi ni wako.”
Nilimjibu hivyo na kumfanya atabasamu. Tulipgana mabusu kadhaa na kluala mpaka asubuhi ambapo alinichukua na kunipeleka kwa wazazi wake. Nilipokelewa vizuri sana na wote walifurahi baada ya kusikia kua nimeshapewa nguvu za kijini.
Iliandaliwa mikakati kabambe ya haruhi yetu . kila kiumbe wa huko alipata taarifa juu ya harusi yetu iliyopangwa kufungika siku tatu mbele.
“Edward akisikia atachanganyikiwa eeh?” nilimuuliza mpenzi wangu tulipokua katika maandalizi ya mwisho ya harusi.
“kuna hatari ya kupoteza maisha kabisa kama atachukulia hii ni malipizo kwa aliyonitendea.”aliongea mpenzi wangu kinyonge. Baada ya kumtazama alitabasamu na kuwa mpole tena.
ITAENDELEA

Duu!

Huyu jini mwanamke anapenda ngono... keshapigwa mkuyenge tena...


Cc: mahondaw
 
RIWAYA…..THE MAGIC RING ( 14 )
MTUNZI….. HUSSEIN O. MOLITO
+255 (0)718 97 56 59
Iliandaliwa mikakati kabambe ya harusi yetu . kila kiumbe wa huko alipata taarifa juu ya harusi yetu iliyopangwa kufungika siku tatu mbele.
“Edward akisikia atachanganyikiwa eeh?” nilimuuliza mpenzi wangu tulipokua katika maandalizi ya mwisho ya harusi.
“kuna hatari ya kupoteza maisha kabisa kama atachukulia hii ni malipizo kwa aliyonitendea.”aliongea mpenzi wangu kinyonge. Baada ya kumtazama alitabasamu na kuwa mpole tena.
Siku iliyosubiriwa kwa hamu ilifika na wote tuliudhuria kwenye ukumbi mkubwa wa Damina uliokua ukitumika kwa mikutano mikubwa au harusi kubwa. Viumbe wote walipenda kuhudhuruia harusi hiyo ya kihistoria iliyohusisha binaadammu na jini huyo aina ya Fundy.
Ilikua ni ajabu sana kwa watu hao waliohudhuria baada ya kuniona nikiwa nimevaa mavazi yao na kunikaa ivizuri kabisa.
Mkuu wa majini alisimama na kuanza kuhutubia viumbe hao waliokuwepo humu ndani. Walikua maelfu kwa maelfu huku wote wakitumia lugha moja tu.
“sasa tunatakiwa tuwe kimya kwa ajili ya kumruhusu Jaji wetu aje awafungisha ndoa hawa wapendanao.” Aliongea mkuu wa majini na kuwafanya watu wote waliohudhuria hapo kutulia kimya.
Alikuja jaji kama vile tupo mahakamani na kunisogelea pale nilipo.
“upo tayari kumuoa Rosemary Pentzel?”
Aliniuliza hilo swali lililonifanya niitikie haraka.
“nipo tayari.”
Nilijibu na kumfanya Yule jaji arudie kuniuliza swali hilo mara tatu. Baada ya kujibu kua nimekubali na nipo tayari. Alihamia kwa mke wangu mtarajiwa.
“nipo tayari”
Alijibu pia mara tatu na kusababisha taratibu zingine ikiwemo matambiko kuendelea.
Ilituchukua masaa matatu katika kukamilika kwa viapo na mambo yote ambayo nilikua siyajui ila nililazimika kufanya ili nisije kuharibu mambo.
Tulipitishwa kwa wazee waliokua wamekaa kwenye meza kuu na kupewa Baraka zao. Baada ya hapo tulirudi mbele ya jaji na yeye akahitimisha kwa kuwatangazia viumbe waliokuwwemo humo kuwa tumeshakua kitu kimoja.
Shangwe, vigeregere na vifijo zilisikika kutoka kila pande huku viumbe wote wakisifia jinsi tulivyokua tumeendana.
Tulitoka ukumbini taratibu na baada ya kufika nje ya ukumbi. Tulimuona Edward akiwa na mke wake huku wakiwa wameshika maua.
“kuanzia leo, sina ugomvi na nyinyi. Naomba mnisamehe na mpokee maua yetu kama ishara ya kutengeneza amani kati yetu.”
Aliongea Edward na kutukabidhi yale maua. Tuliyapokea na kukumbatiana nao kuonyesha kua hatukua na kinyongo nao.
Muda mfupi baadae, wallikuja wanyama wawili wakubwa wanaofanana kabisa na farasi. Ila walikua wamebeba kijumba kizuri kilichokua na magurudumu makubwa. Tulipanda ngazi na kuingia kwenye kijumba hicho tayari kwa ajili ya kwenda kula fungate.
******************
Nilishtuka kutoka kwenye usingizi mzito ambao hata sikujua nilitumia muda gani kulala. Baada ya kupapasa huku na huko ili nimuangalie mke wangu. Sikuweza kumuona. Niliamka na kuita huku nikikagua chumba mpaka chooni ambapo sikumuona pia.
Nilirudi kitandani na kukuta kikaratasi.
“najua utajiuliza kwanini nimeamua kukuotesha ndoto kama hii. Ila ukweli ni kwamba. Japo hivi sasa nimerudiana na mpenzi wangu Edward, ila nahisi bado ana uhusiano na mwanamke mwengine. Yote hayo ni makisio tu. Ila ukweli ni kwamba. Nimetokea kukupenda sana Deo. Na kama nikibainisha kua kuna ukweli juu ya hisia zangu kua mpenzi wangu ananisaliti, basi nitarudi kwako na kuifanya ndoto hii kua ya ukweli kabisa…wako akupendaye, Rosemary.”
Kikaratasi hicho kilinifanya nishushe pumzi. Sikua nawaza kabisa kua ushindi ule ni ndoto.
Nilikikagua kile chumba na ndipo nilipohakikisha kua nilikua kwenye chumba nilichopewa na Al-hadad.
Kabla sijakaa vizuri, simu yangu iliita. Nilipoangalia jina kwenye kioo cha simu yangu. Lilisomeka jina la Martha. Niliipokea haraka na kumsikiliza.
“unakuja saa ngapi baby?”
Aliongea hivyo baada ya salamu.
“jioni.. au usiku kama vipi.” Nilijibu huku nikiwa nafikiria ile picha ya jini kichwani kwangu.
“poa… I love you.”
Alimaliza hivyo nami nilipomjibu, nilikata simu.
“Hizi ndoto zingine jamani, mungu aniepushie mbali.”
Niliongea hivyo na kwenda kuoga. Niliporudi, nilishangaa baada ya kuona chumba changu kinanukia harufu nzuri ya Yule jini. Hapo ndipo nilipoamini kua, japo kua hayupo na mimi. Ila kuna ukweli kua nitakuja kuishi maisha yote ya ndoto niliyoishi na yeye.
MWISHO WA SEASON 1………………………

Kumbe masaa yote haya Deo alikua anaota kuhusu jini Rosemary...

Sasa hizo sehemu za malavidavi, hakujichafua kweli, kwa sababu mechi za kwenye ndoto zinakuaga siyo mchezo...

Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom