The less you know, the happier you are!

The less you know, the happier you are!

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Kuna aina ya watu, nashindwa jina gani zuri la kuwapa. Naomba mnisamehe, ila ili kukipa maana hiki ninachokiandika hapa, nitawaita Wajinga au Wapumbavu.

Aina hii ya watu ni wale ambao either hawajasoma kabisa au wana elimu ya msingi na wapo very little informed kuhusu mambo yanavyoendelea Tanzania na duniani!

Ninachokipenda kwa watu hawa, wana furaha muda wote! Yaani utawakuta wanatabasamu na kucheka all the time, hawana stress kabisa mioyoni mwao na ikifika usiku wanalala kwa amani kabisa.

Kadiri unavyojiongezea maarifa, unavyojua mengi zaidi na kuwa well informed kuhusu kila kitu kinachoendelea, huzuni moyoni inaongezeka. Inaongezeka kiasi kwamba moyo unakuuma mchana na usiku hulali kwa raha.

Kadiri unavyozidi kujua zaidi, unapata maswali mengi zaidi yasiyo na majibu!

Ule mstari unaosema "Kwenye wingi wa maarifa kuna wingi wa huzuni, na yeyote ajiongezeaye maarifa anajiongezea huzuni" ni wa kweli kabisa. Na leo nimejua kwamba, the less you know, the happier you are!

Bora niwe mjinga kwa kweli, nimevurugika na huu mchakato wa uchaguzi! Nahisi nitapasuka.
 
kweli mkuu,me sitak hata kuangalia itv

roho inauma:eek2:

Kuna muda unatamani kama usisikie chochote, yapite tu! Lakini ndio tunaishi humu humu. Ukienda ofisini yanaongelewa, ukipanda dala dala redio zinaongea. Unaweza ukasema ngoja niende bar nikatulie, nako TV zinaonesha.
 
Umenena kweli....nikifikiria sasa hivi kuna watu hawana hata habari juu ya nini kinaendelea...wanajua fika jana ulifanyika uchaguzi ila hawana hata habari kuhusu nini kinaendelea wakati mimi hapa kichwa kinaniuma hapa na sina uhakika kama nitalala usingizi......
 
ifike hatua mambo ya kusaidiana ndugu kulipiana karo, kusaidia huduma za afya. kuwapa watu chakula sijui mavazi eti unawahurumia wana shida huo wakati umepitwa kila mtu aji fight mwenyewe sababu nina uhakika wasio utaka uongozi wa ccm hawana shida wengi wanajiweza kiuchumi na ndo watoaji msaada wakubwa kwa ndugu zao. hakuna kuchoka maandalizi ya uchaguzi wa 2020 ni sasa makosa na mafanikio ya vyama vya upinzani yanapaswa kufanyia kazi kuanzia hivi sasa. mimi sikati tamaa ndo kwanza nimepata hali ya kutoa elimu. ujinga ni ghali sana
 
Ni kweli kabisa. Am so stressed right now!!
Huyu mzee wa Kipare simwelewi kabisa.
 
Umenena kweli....nikifikiria sasa hivi kuna watu hawana hata habari juu ya nini kinaendelea...wanajua fika jana ulifanyika uchaguzi ila hawana hata habari kuhusu nini kinaendelea wakati mimi hapa kichwa kinaniuma hapa na sina uhakika kama nitalala usingizi......

Ndo mana sikuoni sikuhizi...
 
Kuna muda unatamani kama usisikie chochote, yapite tu! Lakini ndio tunaishi humu humu. Ukienda ofisini yanaongelewa, ukipanda dala dala redio zinaongea. Unaweza ukasema ngoja niende bar nikatulie, nako TV zinaonesha.

yaani na majukwaa yote ya jf habari ni hizo hizo bora niende jukwaa la mapishi tu
 
dah umenena vema mkuu, mi ningekuwa mwenyewe nyumbani ningekuwa naangalia series tu mda woote ata nisinunue bundle, ila tupo wawili jamaa anasisitiza tuangalie tu, naangalia najikuta nina bundle tena, ngoja nitafute namna nyingine ya kuwa mpumbavu ila ngumu.
 
Amini nakuambia....hazitatazamika,mimi nimejaribu haijafaa kitu naona kichwa ndo kinazidi kuniuma
 
ifike hatua mambo ya kusaidiana ndugu kulipiana karo, kusaidia huduma za afya. kuwapa watu chakula sijui mavazi eti unawahurumia wana shida huo wakati umepitwa kila mtu aji fight mwenyewe sababu nina uhakika wasio utaka uongozi wa ccm hawana shida wengi wanajiweza kiuchumi na ndo watoaji msaada wakubwa kwa ndugu zao. hakuna kuchoka maandalizi ya uchaguzi wa 2020 ni sasa makosa na mafanikio ya vyama vya upinzani yanapaswa kufanyia kazi kuanzia hivi sasa. mimi sikati tamaa ndo kwanza nimepata hali ya kutoa elimu. ujinga ni ghali sana

Hicho ndio nataka kukianzisha kwa ndugu na jamaa zangu, hakuna kusaidiana, kila mtu apambane kivyake.
 
Amini nakuambia....hazitatazamika,mimi nimejaribu haijafaa kitu naona kichwa ndo kinazidi kuniuma
pamoja na yote miaka 5 ni michache sana sasa hivi ukikata tamaa you loose control and mood for next move. siasa ni vita mwanajeshi mweredi huwa hakubali ku surrener hadi pale mauti itakapo mpata basi adui atajihakikishia ushinda. huu ni wakati wa kujitathmini wote wenye mapenzi ya kweli ya kuona ccm inang'oka kukaa chini na kutafakari na kujitolea kwa hali zote ili adhma yetu itimie. am on my 20's bado nina hali ya kuleta change kama haitakuja in my 30's au 40's nitawasimulia wanangu one time
 
wengi wenye uchungu na nchi yetu we so confused ....najihisi hudhuni kama nimeondokewa na mpendwa wangu
 
pamoja na yote miaka 5 ni michache sana sasa hivi ukikata tamaa you loose control and mood for next move. siasa ni vita mwanajeshi mweredi huwa hakubali ku surrener hadi pale mauti itakapo mpata basi adui atajihakikishia ushinda. huu ni wakati wa kujitathmini wote wenye mapenzi ya kweli ya kuona ccm inang'oka kukaa chini na kutafakari na kujitolea kwa hali zote ili adhma yetu itimie. am on my 20's bado nina hali ya kuleta change kama haitakuja in my 30's au 40's nitawasimulia wanangu one time
Nimependa spirit yako.....umeniambukiza walah
 
Back
Top Bottom