The king makers

Mkuu The bold labda nikufate huku huku nashindwa kusoma post ya kuanzia episode 9 na kuendelea kwenye post ya vipepeo weusi. Pamoja na post hii ya THE KING MAKERS sehemu ya tatu sijaipata.
 
Usengwile bambo Daah Yaan watu Hatujui dunia inakoelekea kama mvivu WA kusoma ndo unaachwa
 
Duh hii Kali sana
 
nimekuelewa sana mkuu....ila hakuna ubishi matajiri wanaoshikilia uchumi wa nchi kiasi kikubwa wana maamuzi ktk utawala wa viongozi wanaowapendelea....ila wanafanya kwa usiri sana...
ndio kanuni yao....
 
Nauza viwanja..vipo Chanika majumba sita-homboza @3.5Milion..viko vitano..size 20kwa 20...vyote vina barabara..mtu akichukua kwa jumla vyote ni million 13 vyote.mawasiliano.Dr.Lyimo Innocent.phone no;0758317999.Watsup na SMS za kawaida plus cals utanipata.<br />Nb;kumejengeka mno..na maji yapo ,ila havijapimwa..ukitaka hati ile ya kijiji unaenda ofisi za kijiji wanakuprocesia hazina shida.Ni Mali yangu mwenyewe haina udalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…