Ah ah ah, ile ilikuwa story ya Abdul au Abunuwas (soma Hekaya za Abunuwasi) kama sikosei, inasemekana jamaa alikuwa amechacha yaani hana hela sasa akaamuwa kuwadanganya wanachi kuwa kuna malaika ndani ya kibanda, na mtu ambaye hana dhambi ndiye atakaye weza kumuona...! Hapo hata mfalme aliingizwa mkenge...! Kwa kuveshwa nguo isiyo onekana...!x-paster umenikumbusha stori ya nani yule aliyewaambia watu ''Mungu yupo inside the room.If u ar a sinner u wont see Him''. Kila mtu akatoka na kutoa sadaka claiming they have seen God.LMAO!