The inevitable class struggle between the haves and the have nots...!

Mkuu wazo lako zuri lkn shida ipo kwenye kupata kiongozi mwenye mapenzi mema na hii nchi yetu. Hawa panyaroad ni watoto na wana wazazi wao tujiulize je wazazi wapo wapi. Hili gap la wenye nacho na wasio nacho linazidi kukua siku hadi siku na kwa jinsi hali ilivyo litazidi kukukua kwa kasi. Matokeo yake hata hao wenye nacho hawatafaidi matunda yao kwani wanaishi wapi. Hapa tunatakiwa kuwa na strong leadership ambayo itasaidia ku-modulate hii hali . Tuna matatizo mengi sana nchini ikiwemo elimu bora n.k vijana hawa wapo kwenye lika la kwenda shule lkn kwa bahati mbaya wamejikuta mtaani.
 
tunaambiwa kuwa hao panya road ni kuanzia miaka 14 - 23. si walipaswa kuwa shule hao? wanastrago kwa lipi? wako wazazi masikini na wamemudu kujikongoja kusomesha watoto wao hadi wakafanikiwa. mitoto mingine minunda tu. peer pressure imewafikisha huko. na bahati mbaya biblia imethibitisha kuwa the have nots are here to stay. epa na richmond na escrow Visiwe vigezo vya kuendekeza hilo gepu. panya rod si kgezo sahihi cha kufanyia analysis yako ndugu mleta mada
Mkuu una haiba ya mtu ambaye ni self centered.
Aina ya mtu ambaye atasema " I dont care watu wanakufa kwa njaa, mimi na familia yangu hatuna shida hiyo"

Watu wa aina hii wako wengi tu humu nchini, na pengine wanafikiri hili tatizo la Panya Road ni tatizo lisilo wahusu.
Ni mpaka pale watakapoona hao Panya Road wameanza kuwa sophisticated katika aina ya uhalifu wao ndio wataona kuwa hawako kwenye nyumba imara sana.

Kusema "mitoto mingine ni minunda tu" ni kumiss outright the point in realising the inequalities in our society.
Hao unaowaita manunda hawakuzaliwa kuwa pale, the society has squeezed them into that position.
Na ndio hizo classes zinazozidi kujientrench.

Hili ni somo kubwa sana kwetu na kama nilivyosema awali, hata tukiwa na Kova wawe kumi hawatweza kulitatua tatizo hili.
Kinachotakiwa ni hatua mahsusi za kupunguza income gap kati ya the have and have nots ili wote wafaidike na uchumi unaoiendesha jamii.
 
Lowasssaaaa---Bomu linalosubiri kulipuka

Alisema hili

Mama Gaudencia kabaka kaitisha hadi Press kumponda
 
Juu ya hawa Panya things, sijamsikia mama Kabaka akisema lolote, ajira ya vijana iko katika portfolio yake.
 
Mkuu una haiba ya mtu ambaye ni self centered.
Aina ya mtu ambaye atasema " I dont care watu wanakufa kwa njaa, mimi na familia yangu hatuna shida hiyo"

Watu wa aina hii wako wengi tu humu nchini, na pengine wanafikiri hili tatizo la Panya Road ni tatizo lisilo wahusu.
Ni mpaka pale watakapoona hao Panya Road wameanza kuwa sophisticated katika aina ya uhalifu wao ndio wataona kuwa hawako kwenye nyumba imara sana.

Kusema "mitoto mingine ni minunda tu" ni kumiss outright the point in realising the inequalities in our society.
Hao unaowaita manunda hawakuzaliwa kuwa pale, the society has squeezed them into that position.
Na ndio hizo classes zinazozidi kujientrench.

Hili ni somo kubwa sana kwetu na kama nilivyosema awali, hata tukiwa na Kova wawe kumi hawatweza kulitatua tatizo hili.
Kinachotakiwa ni hatua mahsusi za kupunguza income gap kati ya the have and have nots ili wote wafaidike na uchumi unaoiendesha jamii.
society imewasqueez vipi kuwa hapo? Nijengee hoja kwanza. Pili ilisema kuwa hao panya road walistahili kuwa mashuleni, so sio base nzuri kuwapigia mfano wa class struggle. They are not matured. And according to you they will never be sophisticated. Sophistication iko Mafia na ishu kama epa na escrow. Kwa hawa watoto ni ishu ya intelijensia kuamua tu. Ni watoto wadogo ambao malezi yao yaliharibika kutokana na peer pressure. Kama hukunielewa ni kufuata mkumbo. Na kwa Tanzania hatuna hiyo inequality unayotaka kuionyesha hapa. It is all about each according to his produce, not his needs. We are not talking about unemployed benefits here. BAdo fursa zipo na panya road kama wameona hiyo nifursa, its ok. Class struggle is about maturity.

NA unapunguzaje gap ya income btn the two? Toa maelezo...
 
Du!
Young man you are so naive!
It might take a series of lectures to bring you to the same thinking plane.
Kwa inavyoelekea you do not have the slighest idea on social class struggles and interactions.
Jaribu kujisaidia kugoogle hizo topics ambazo ziko very wide and in times particular.

Kama hujawahi kuzipitia hizo studies its a waste of time to argue.
 
Hata hapa kwangu napoishi, muda mfupi uliopita tulikuwa tunazungumzia swala hili na mwanamama mmoja na nikamueleza chanzo kimojawapo cha matukio kama haya ni watu kukosa ajira na kukata tama.

Bahati mbaya sana,kama ilivyo kwa wana-CCM wengi,mama huyu alipinga hoja yangu na kutoa sababu zake kama vijana kuvuta bangi n.k.

Huyu mama angekuwa na akili angejiuiliza kwanza ni kwanini vijana hawa wavute bangi n.k.

Najua kuna wengine hata akiwa na maisha mazuri kuvuta bangi na mambo ya aina hiyo ndio hulka yake.Lakini je,wote hawa kwa makumi au mamia wanafanya vitendo kama hivi kutokana na hulka zao tu?

Polisi kama wana akili,vijana waliowakamata wawahoji kistaarabu ili wawape sababu za wao kufanya walioyafanya na taarifa wazipeleke serikalini kwa utatuzi kama tunataka haya yasijirudie tena.Tofauti na hapo ni kujidanganya tu.

In short,civil disobedience in our country is around the corner.

Polisi wa kuhoji ili apate "intelligence" anatakiwa awe kaenda shule, kasoma psychology, kasoma criminology, kasoma sheria, ana moyo wa "community policing", analipwa vizuri hana ma frustration ya mshahara wa ajabu.

Sio Mura Mang'ana darasa la saba, kabla hajakamata Panya Road ashajiwekea mipango ya jinsi atakavyowapiga mpaka wakome, ataweza wapi kupata intelligence?

Wasomi wetu wa sociology na psychology / social studies wako wapi kuandika deeply researched papers/ books kuhusu haya mambo?
 
Du!
Young man you are so naive!
It might take a series of lectures to bring you to the same thinking plane.
Kwa inavyoelekea you do not have the slighest idea on social class struggles and interactions.
Jaribu kujisaidia kugoogle hizo topics ambazo ziko very wide and in times particular.

Kama hujawahi kuzipitia hizo studies its a waste of time to argue.
Aheri mie mwanawane, nilisema huko nyuma.
Madudu haya yako juu ya uwezo wa wengi!
 
Du!
Young man you are so naive!
It might take a series of lectures to bring you to the same thinking plane.
Kwa inavyoelekea you do not have the slighest idea on social class struggles and interactions.
Jaribu kujisaidia kugoogle hizo topics ambazo ziko very wide and in times particular.

Kama hujawahi kuzipitia hizo studies its a waste of time to argue.
Class Struggle: Classes emerge only at a certain stage in the development of the productive forces and the social division of labour, when there exists a social surplus of production, which makes it possible for one class to benefit by the expropriation of another. The conflict between classes there begins, founded in the division of the social surplus, and constitutes the fundamental antagonism in all class. As capitalism was just beginning to create itself, Karl Marx and Fredrick Engels explained the processes they had witnessed:

Mmebadili heading? I thought our base was panya road. Naona tunahama taratibu. Sina shida na uwanda wa class struggle ila kuwatumia panya road ndio ilikuwa ugomvi wangu. Ukiniambia kuhusu wakulima na wafanyakazi nitakuelewa lakini si wahalifu. Hakuna class ya wahalifu inayotambuliwa popote katika mazingira rasmi. Uhalifu ni uhalifu na wala si class struggle.

Na hujanijibu. Unapunguzaje pengo la kipato kati ya hizi class (si panya road)? Dont be pathetic and try to empathise with my personality and understanding. Just be objective to the topic
 
Tofauti ya kipato kati ya wakubwa walionacho, na wadogo walalahoi inaendelea kukua, tena kwa kasi.
Itafika mahala masikini hataona dhambi kumnyang'anya tajiri, kama uwezo huo anao.
Na ndio Panya Road.

Pengine kinachouma si wivu kwamba walionacho wanawaonea wivu walionacho hapana bali wasionacho wanaona waziwazi kwamba majority ya walionacho hawajipata kwa halali ila kwa kutumia vby ofisi za umma walizonazo au kwa kuwa na connections na walioko kwenye ofisi za umma.
 
Class Struggle: Classes emerge only at a certain stage in the development of the productive forces and the social division of labour, when there exists a social surplus of production, which makes it possible for one class to benefit by the expropriation of another. The conflict between classes there begins, founded in the division of the social surplus, and constitutes the fundamental antagonism in all class. As capitalism was just beginning to create itself, Karl Marx and Fredrick Engels explained the processes they had witnessed:

Mmebadili heading? I thought our base was panya road. Naona tunahama taratibu. Sina shida na uwanda wa class struggle ila kuwatumia panya road ndio ilikuwa ugomvi wangu. Ukiniambia kuhusu wakulima na wafanyakazi nitakuelewa lakini si wahalifu. Hakuna class ya wahalifu inayotambuliwa popote katika mazingira rasmi. Uhalifu ni uhalifu na wala si class struggle.

Na hujanijibu. Unapunguzaje pengo la kipato kati ya hizi class (si panya road)? Dont be pathetic and try to empathise with my personality and understanding. Just be objective to the topic
Very Good!
Naona sasa unakuja taratibu, ingalau umeanza kujiweka katika uwanda wa ku analyse hizo classes.
Kama nilivyosema mwanzoni kuna class ya bourgeouise, yaani tabaka la wahodhi uchumi(wakisaidiwa na watawala) na proletariats(tabaka la watawaliwa, wananchi hohehae).

Hata ndio matabaka yanayoanza kujitokeza kwa kasi sasa hivi.
Ndiyo kuna peasants(wakulima), lakini sana sana wanaingia katika kundi hili la wanyonge.
Na kama ulivyogusia tofauti zao kubwa ni katika umiliki wa the weth production process, wakati bourgeouise ni mmiliki wa hizo production forces, proletariat ni mshiriki tu katika production process(ana milikiwa) .

Sasa bila kuwa na hadithi nyingi, tukienda moja kwa moja kwa Panya Road(area ya interest), huyu ni RESULT ya mmilikiwa katika production process yaani hao Panya Rd ni sons and daughters of the proletariats, the poor!

Sasa kama uanfikiri suala ni as simple as malezi bora tu, you are dead wrong, maana tatizo ni kubwa zaidi.
Hawa Panya Road baba na mama zao pengine hawana kazi, hawana matunzo ya afya bora, hawana ardhi ya kumiliki, hawaoni manufaa ya shule kwa vile umasikini uliokithiri umewaandama, na si ajabu hata leo tatizo la kwanza ni mlo wa siku.

Huyu ndo mtu unayefikiri Kova anaweza kumcontrol?
Never, they are far beyond caring.
Panya Road ni kielelezo cha matokeo mBaya ya the emerging class divisions/struggle nchini lwetu.

Mwenye nacho anataka cheap labour for higher yields wakati asiye nacho anataka mlo wa leo at good wages, na afya bora pamoja na matuzo kwa familia yake.

This is where the class struggle manifests.
 
Kiukweli nisipochangia huu uzi nitakua nimeinyima haki hii post,swali nini kifanyike?
1.serikali isiwapumbaze vijana kwa kelele za kusema kilimo ni utI wa mgongo wa taifa letu.hapa iwekwe wazi kuwa kilimo ni kazi kama kazi ingine huku ikiweka pembejeo za kilimo katika bei za chini kwa kutoa au kupunguza kodi ya pembejeo
2.serikali ipunguze matumizi yasiyo ya lazima mf.safari za viongozi wetu nje.hasa rais na kamati za bunge.hiyo pesa itumike kuandaa miundo mbinu ya mashamba ya nafco,ranchi wapewe vijana na sio kuuziwa wawekezaji.
3.elimu inayotolewa ktk vyuo vyetu iwe inalenga kumuandaa kijana kujitegemea
4.somo la moral ethics ianzie darasa la kwanza
5.kila mjumbe aorodheshe majina ya vijana ktk mtaa na shghuli maalumu wanazofanya.hapo sample itasaidia ni vikundi gani vianzishwe na kufanya shughli yenye tija,hapa serikali isimamie na kuwadhamini hao vijana.
6.makongamano semina na posho zipunguzwe maofisni,pesa hizo zipelekwe kuimarisha au kujenga viwanda vidogo
7.ianzishwe tuzo ya ubunifu kitaifa kwa vijana watakaoibua fursa.watunukiwe honorable certificate wasambaze ujuzi.hii itaibua curiosity among youth
8.kuwe na sera yataifa ya kuwasimamimia vijana,waanzishiwe na mabenki wakope wafungue biashara.
HAPO NI KWA MTAZMO WANGU.jIONI NJEMA
 
Du!
Young man you are so naive!
It might take a series of lectures to bring you to the same thinking plane.
Kwa inavyoelekea you do not have the slighest idea on social class struggles and interactions.
Jaribu kujisaidia kugoogle hizo topics ambazo ziko very wide and in times particular.

Kama hujawahi kuzipitia hizo studies its a waste of time to argue.

Mkuu huyo unaejibizana nae ana kadi ya CCM na anufaika na mfumo uliopo! Inauma sana watu wanaacha kutafuta chanzo cha tatizo, badala yake wana-deal na tatizo lenyewe....! Hii serikali itakua ni punguani. Kila mahali ni mkanganyiko na kutokujielewa kwa waliopewa madaraka. Mfano; ungeamini kuwa JK angesema kua hela ya ESCROW sio ya UMMA?! That means, ofisi ya CAG, PCCB na PAC hawakua sahihi kwenye uchunguzi wao! Yaani raisi haziamini taasisi alizozipa mamlaka!? Pili kama pesa hazikuwa za UMMA ilikuaje Tibaijuka akafukuzwa kazi na wengine wakabaki? Nashindwa kumwelewa JK.
So kuendelea kulumbana na huyo bwana unapoteza muda mwingi.
 
Class Struggle: Classes emerge only at a certain stage in the development of the productive forces and the social division of labour, when there exists a social surplus of production, which makes it possible for one class to benefit by the expropriation of another. The conflict between classes there begins, founded in the division of the social surplus, and constitutes the fundamental antagonism in all class. As capitalism was just beginning to create itself, Karl Marx and Fredrick Engels explained the processes they had witnessed:

Mmebadili heading? I thought our base was panya road. Naona tunahama taratibu. Sina shida na uwanda wa class struggle ila kuwatumia panya road ndio ilikuwa ugomvi wangu. Ukiniambia kuhusu wakulima na wafanyakazi nitakuelewa lakini si wahalifu. Hakuna class ya wahalifu inayotambuliwa popote katika mazingira rasmi. Uhalifu ni uhalifu na wala si class struggle.

Na hujanijibu. Unapunguzaje pengo la kipato kati ya hizi class (si panya road)? Dont be pathetic and try to empathise with my personality and understanding. Just be objective to the topic

Tatizo umekariri kua class struggle ni wakulima na wafanyakazi tu.... Umeshauriwa u-google, nashangaa hadi muda huu bado na unaendelea kubishana na wasomi!
 
Mkulima na mfanyakazi wamebeba kila daraja wewe. AU unadhani mjasiriamali ana class yake? AU unataka kumzungumzia mfanya biashara? Unasikia wewe? Mkulima anaweza kuwa bourgeoies, sawa? HAta mfanyakazi pia. Suala hapa ni kumiliki rasilimali. Au unadhani kuna class ya wanasiasa? Pia si lazima niamini katika hayo ya google maana wameandika watu kama mimi, na wapo waliokinzana na fikra zao na kuja na mitazamo mingine. So tegemea pia akili yako kulingana na mazingira yako na si akili za kushikiliwa na google, sawa?
 
Mkuu jitahidi kujielimishazaidi katika hizi theories ambazo zimeanza kujikita katika jamii za kitanzania.
Unayoongelea hapa kwa kweli hayana mantiki sana kulingana na hizi set theories ambazo zimekuwa proven in practice.

Maana ya kuzielewa theories hizo ni kwa minajili ya kuboresha kiuchumi umiliki wa rasilmali za nchi kwa maana ya kupunguza pengo la kipato kati ya walio nacho na wasionacho(reducing the income gap between the haves and the have nots).
Kuna njia nyingi tu za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kodi kwa wenye kipato cha juu, ili kufidia pato la walio na kipato kidogo(kama Sweden).
Lakini kwa uhakika tukiendelea hivi ni lazima Panya Road wataongezeka nchini.
Hapo kwenye red, nime highlight vitu ambavyo vinaashiria kutoelewa vema kwa upande wako kitu kinachoongelewa. Nilichohighlight is a practical impossibility.
Mkulima (kwa maana ya peasant) au mfanya kazi hawezi kuwa bourgeoise kwa maana ya mmiliki wa forces of production, maana hapo alipo tu yeye ni tool of production.
 
Basi hizi theory zina limitations kweli. Nikiwa na heka 500 nalima mananasi na mahindi nasafirisha kuleta sokoni, nimeajiri vibarua naingia kundi gani? Pengine sielewei kweli ila haininyimi fursa ya kukinzana na hizo nadharia.

Kitu kingine ni kwamba mi sio muumini sana wa nadharia. Japo nadharia huonyesha njia kwa namna fulani, kwa kiasi kikubwa huwa hazifanyi kazi, hasa katika mazingira ya nchi zetu. MKUKUTA, MKURABITA, KILIMO KWANZA, BRN, zote hizi ni plan ambazo ni nadharia za kukopi toka kwa wenzetu waliofika mbali. ZImetekelezeka? Ujamaa, vijiji vya ujamaa, Azimio la Arusha vyote hivyo ni nadharia ambazo zilishindwa kutekelezeka hapa kwetu. Tazama mfano Marshall Plan ilivyoweza kutekelezeka nchini Uingereza. Mifumo yetu na ya wenzetu, hata katika kufikiri na kutenda ni vitu viwili tofauti. Ndio maana wenzetu wameweza kuendelea kwa kufuata maandishi, ambayo kwa kiasi kikubwa ni nadharia za wananchi/wasomi/zao lao wenyewe. Tumesoma/tunasoma vitabu vyao enzi na enzi. Tumefanikisha lipi kupitia maandishi yao?

Ni kweli kuna matabaka lakini siwezi amini kuwa mkulima hawezi kumiliki njia za uzalishaji mali. If you are talking about ceteris peribus (other things remain equal) hapo nitakuelewa. Lakini kama tusipoacha jambo lolote na tukachukua hiyo definition ya Marx kuwa mkulima ni ploretatiat, tutaishia kwenye nadharia katika mijadala lakini tukirudi katika uhalisia, hizo nadharia zitakaa kando.

Kwanza unapojadili hizo theory za Marx ni kwamba ameapply ceteris peribus. Marx hakuwa muumini wa dini. Wakomunist hawana dini, so sisi tunachanganya ukomunisti wa Marx na imani zetu. Tukirudi kwenye imani zetu, maandiko yanasemaje kuhusu hawa ambao unawaita ni zao la mkinzano wa matabaka? Kumbuka hapa hatupo darasani na wala hatujibu mtihani, so no ceteris peribus.
 
Mkuu jitahidi kujielimishazaidi katika hizi theories ambazo zimeanza kujikita katika jamii za kitanzania.
Unayoongelea hapa kwa kweli hayana mantiki sana kulingana na hizi set theories ambazo zimekuwa proven in practice.

Maana ya kuzielewa theories hizo ni kwa minajili ya kuboresha kiuchumi umiliki wa rasilmali za nchi kwa maana ya kupunguza pengo la kipato kati ya walio nacho na wasionacho(reducing the income gap between the haves and the have nots).
Kuna njia nyingi tu za kufanya hivyo ikiwa ni pamoja na kodi kwa wenye kipato cha juu, ili kufidia pato la walio na kipato kidogo(kama Sweden).
Lakini kwa uhakika tukiendelea hivi ni lazima Panya Road wataongezeka nchini.
Hapo kwenye red, nime highlight vitu ambavyo vinaashiria kutoelewa vema kwa upande wako kitu kinachoongelewa. Nilichohighlight is a practical impossibility.
Mkulima (kwa maana ya peasant) au mfanya kazi hawezi kuwa bourgeoise kwa maana ya mmiliki wa forces of production, maana hapo alipo tu yeye ni tool of production.
.poti kuna watu wagumu kuelewa,go on
 
Back
Top Bottom