The Illuminati is real, and it's everywhere

Yawezekana Iluminati wapo.Lakini ya kwamba karibu watu wote maarufu ni Iluminati na kwa kufiwa kwao ndio wameua hiyo inatia mashaka makubwa.Devil you are a liar.
 
Mleta mada hujawahi kufiwa?

Nimwahi tena sana...kwani hii inaondoa nini?Mbona ktk issue za usalama wa taifa na majasusi wengine watu wanakufa na sababau zinakubalika,Albino zinakubalika kwanini wewe hutaki?Nina sizable watu walipoiga hela sana kwa kufuata hizo rituals na sasa wengine wamekula hadi mavi, wengine wapo milembe..na hawtaaki tena ziona mali,wengine wanataka jiuza, wengine wana hofu ya wat wengine kwa kiasi cha kukimbia ,,wengine hulazimishwa jiua na watu wasiojulikana hadi wanajiua.

Hawa wote unaweza semaje?Utaniuliza km mim isijawahi pitia hayo mambo...ili uyafanya kuwa ya kawaida na si Uwanjwa wa shetani?

Tarari dunia sasa hivi in the name of Peace uovu mwingi unahalalishwa, watu wema hawana tena ujasiri wa kukea uovu kwa vile jamii ina vitu vingi vya kuwanyamazisha.
 
Changanya Islam, Christianity, Buddhism, Hinduism, Atheism upate dini moja. Utaiitaje? Simply FALLACY.

Kwa mantiki hiyo Mungu sio mmoja aliyeumba kila kitu na kila mtu_maake kama Mungu ni mmoja kwa mujibu wa Abrahamic religion...kwanini iwe nongwa kuleta viumbe wa Mungu mmoja pamoja kwa mamoja....mmmmmh..?
 
Nic, nimefuatilia agenda za Illuminati tangu miaka ya 1996 hadi sasa. Hili ni kundi lenye agenda maalumu. Moja ya agenda kuu kwao ni kuleta New World Order (One world religion, One world government). Pia kwa mujibu wa maandiko matakatifu - Biblia - hawa jamaa watafanikiwa katika hilo lengo. Nia yao ni kwamba wafanikishe ndoto ya One World religion kabla Kanisa halijanyakuliwa. Ila bahati mbaya kwao, 'to their dismay', watachelewa maana watafanikisha hilo wakati ambao Kanisa (Christians) litakuwa halipo ulimwenguni-litakuwa limenyakuliwa. Tafuta kitabu 'He Came to Set the Captives Free' kilichoandikwa na 'Rebecca Brown MD' ujionee hawa jamaa wako vipi. Pia tazama mikakati yao katika You Tube.

Upo sahihi..na sasa utaona jinsi Biblia inavyojidhihirisha......dunia sasa hivi imekuwa so neutralized ina such away watu hwataki tofauti ya black and white, ila grey, watu wanataka democrasia yao km ya Zenj, Kenya ,Na Zimbabwe, sasa hivi ugaidi nao unataka heshima, ...

Ila kuna Wakristu watakaohitaji jikomboa kwa upanga..km Kenya.....kigezo ch akupona na kuishi ni kuwa muislam....
 
The Illuminati uniform Acting silently, unless the occasion calls for a gunshot, the Illuminati push for a New World Order. It will be empowering and ruthless. Failure is not an option. Complacency is worse than not an option. Their arsenal is the ambition of a new media startup, the rhetoric of a congressman and a mogul's business sense. Working hard, playing hard and fighting dirty.

The Illuminati character The Illuminati's golden agents enjoy power, money and glamour – but the real power they offer you goes beyond that. Information worked from every civilian, government and clandestine organisation in the world. Advances in modern magics, in the 'New Magic', that the secret world has never seen. They can give you everything...and they can take it all away.
 
Mkuu Nicholas, wewe ni mtu makini sana na huwa una michango na hoja za nguvu hapa jukwaani, lakini nasikitika kuwa umenaswa kwenye propaganda hii.
Naomba nikuulize swali, uliamini katika kile kilichoitwa kikombe cha babu?, did you think it was real and efficient?, kwa nini kilipigiwa chapuo sana hadi na viongozi wa serikali?, kama ilivyokuwa kwenye hilosuala la kikombe, Freemason na Illuminat hizo ni njia tu za kuwahamisha watu watoke kwenye mijadala mikubwa na ya muhimu ili washinde wanajadili freemason, ili tawala zipumue.
Naomba nikupe zoezi dogo, chunguza vyombo vya habari au watu wanaoeneza habari za freemason ni wa mrengo gani.

Ahsante mkuu kwa kuwaelewesha hawa watu...
 
If it was a secret society, you wouldn't know and say here it was a secret society.

And if you know and say here it is a secret society, it's not a secret society.

Kama huko sahihi kwa Michael Jackson sina sababu ya kufikiri uko sahihi kwingine kokote huko.

Kwani secret nini na wapi inaisha kuwa secret.......secrecy inaanzia ktk "Intention" yaani malengo kitu fulani kisijulikane..then kisijulikane kwa nani?Na je kwa kiasi gani kisijulikane....suppose mke wako ana mpenzi wa siri ..na lengo lao hiyo iwe siri kwa kila mtu...mimi ktk pita pita yangu nikawakuta wakipeigana Denda..nikashngaa hawa watu kwanini mtu na mpezi wake wapigane denda vichochoroni ,tena pachafu...wewe sikujui na wale siwajui il animeshangaa hayo matendo..Kisha nikaandika tk forum fulani watu wasio waaminifu bahati mbaya au nzuri nikaweza vitu fulani pengine picture ,watu wanaowajua wakaona na kuanza tafsiri kwa mtanzamo wa uaminifu wa mkeo au wengine wakwa na concern na huyo mwananume km wanamjua yeye zaidi na mkewe....Ktk zoezi zima Bado wewe ukabaki ndiye ambaye hujang`amua hiyo siri kwa sababu mbaimbali....kwa hiyo story kuwa wanawake wa mtaani kweni wengi si waaminifu inaweza kufanya upige watu kwa vile utaona kama vile wanataka mdhalilidha hata kiburudisho wako.

Bado lengo la siri la hao jamaa halijavunjika kabisa , na kati ya walengwa waku wa hiyo siri wewe ndio ulipaswa usipate hata details moja...ila wengine nao walitakiwa wasijue kwa vile wanaweza kuwa wambea..ila nahdani umeona jinsi hiyo siri inaweza kuwa relative...

bado kwangi tendo linaweza baki ni siri kwa vile sijui wanfanyia wapi ngoni kabisa na sasa ngapi, na mata ngapi au namna gani......Je kutojua hivyo vipande kuna ulazima kuwa km ni sirir nisingefahamu?Na kama sijafahamu kila kitu basi kitu hicho hakitokei?
 
Huwa najiuliza kila siku bila kupata jibu_kila mtu mwenye mafanikio i.e mahela,mijumba,akili mingi,madaraka makubwa eg,..Obama,Bush,Karl Max,Bill Gates,Steve Job(r.i.p),Papa,..etc,etc,etc wanahusishwa na hawa jamaa...Na hata mataifa makubwa na yaliyoendelea kama Marekan,Urusi,Ubelgiji,Uingereza etc,etc nayo yanahusishwa na hawa jamaa...sasa huyu Mungu wao ni more powerfull kuliko wa kina yakhe huku ambaye ni wao hao hao waliyemleta na kutukaririsha na kutuachia tunaimba nyimbo zake na kuana wenyewe kwa wenyewe huku wao wakiwa wamemuacha na kuja na injili/Mungu ingine in tghe name DEMOKRASIA....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????????????

Sidhani km wote wa mabilionea ni Illuminati..wengine pia wanaweza chafuliwa au hata umbuliwa km Sita km CDM....AU NApe na CCJ.....

Swali lao ni km Mtu aulize kwanini ktk kila sacred areas za tamaduni yeyote duniani Uislam umeingiza mbegu yake na Sasa wanadaia haki ktk hizo Tamaduni....ulizia Kwa wahehe na mkwawa,ulizia urambo, ulizia India Taj Mahali ilipo ni ktk sehemu atkatifu ya wahindu, ulizia Jerusalem msikiti wa Al Aqsa upu juu ya Hekalu ya wayahudi, Ulizia Princes Diana na Issue ya Dodi, Ulizia New York baada ya Twin Tower waislam walikuw akitaka jenga Kituo cha utamaduni..Ulizia utawala wa kifalme wa Uganda..na Ulizia Thailands kw wabudha,Afghanistani kwa wabudha....ulizia LA qaabah na wapagani....Ukristu wenyewe uliotoka ktk udhiafu na Kundi la masikini baada ya Wagiriki kuukubali na kutumia elimu yao kuendeleza, na baadaye warumi waliokuwa na jeshi Km Marekani ya Leo waliukubali na kutumia mamlaka yao kuulinda ....Ukristu wa Leo una mahusiano sana Nguvu za US....na kwa taifa ,imani, hata bishara yoyote itapenda ipigania nafsi ya marekani ili sasa watembelee ivuli ch amarekani ktk dunia....
 
Kama Mungu wao ana nguvu then huyo ndio wa kumfuata_mbona walipokuja na hizi hadithi za wayahudi na waarabu walisema Mungu wetu waaafrika ni dhaifu kuliko wao na sisi tukaamua kumfuta wao sababu ana nguvu kuliko wetu.

Kwa hiyo kuna hoja ya kumfuata huyo Mungu wa illuminat sababu anajibu maombi yao na ana nguvu_right..?

haha...mwanangu mdogo karibu kila kitu chema aombacho kwangu huwa nampatia....na bado hajawahi ona niliposhindwa vitu kwani vigi ya ninavyoshindw ahashuhudii au hapatai nafasi ya kuviona au kuvijua..Naeye anifuate....kwa vile anaamini hakuna ninachoshindwa?

Hata majambazi wana mkali wao kwa kumeza vitu vigumu....na wengi hufikia mwabudu...hata polisi nao nao wana askari fulani maarufu kwa kudeal na na aina fulani ya wahalifu..kwa mafanikio je nayo inatosha halalisha unachotaka sema...?CCM leo nao wanawapatia wafuasi wao hela nyingi , inawalinda ktak kila uovu wafanyao dhidi ya vyma vingine,raia, na viongozi wa dini..nao waabudiwe na kufuatwa?je wanaweza kila kitu...?
 
Sidhani km wote wa mabilionea ni Illuminati..wengine pia wanaweza chafuliwa au hata umbuliwa km Sita km CDM....AU NApe na CCJ.....

Swali lao ni km Mtu aulize kwanini ktk kila sacred areas za tamaduni yeyote duniani Uislam umeingiza mbegu yake na Sasa wanadaia haki ktk hizo Tamaduni....ulizia Kwa wahehe na mkwawa,ulizia urambo, ulizia India Taj Mahali ilipo ni ktk sehemu atkatifu ya wahindu, ulizia Jerusalem msikiti wa Al Aqsa upu juu ya Hekalu ya wayahudi, Ulizia Princes Diana na Issue ya Dodi, Ulizia New York baada ya Twin Tower waislam walikuw akitaka jenga Kituo cha utamaduni..Ulizia utawala wa kifalme wa Uganda..na Ulizia Thailands kw wabudha,Afghanistani kwa wabudha....ulizia LA qaabah na wapagani....Ukristu wenyewe uliotoka ktk udhiafu na Kundi la masikini baada ya Wagiriki kuukubali na kutumia elimu yao kuendeleza, na baadaye warumi waliokuwa na jeshi Km Marekani ya Leo waliukubali na kutumia mamlaka yao kuulinda ....Ukristu wa Leo una mahusiano sana Nguvu za US....na kwa taifa ,imani, hata bishara yoyote itapenda ipigania nafsi ya marekani ili sasa watembelee ivuli ch amarekani ktk dunia....


Sijakusoma kabisa mkuu.

 
Unashangaa kwanini TZ albino wanachakazwa hivi?Hata Leakey alisema Evolution ilianzia East Africa, machapisho ya mashariki ya mbali ya yanasema kuna udugu na Africa mashsriki,hata wachina wanasema ni ndugu na africa....
The Illuminati came out of Eastern Africa at the same time as the city states of Mesopotamia arose, when the dawn of civilization was happening in Eastern Africa. That then moved north to Egypt and that's where the Illuminati started out.
Illuminati - The Secret World Wiki (TSWW)
 
Mkuu Nicholas, wewe ni mtu makini sana na huwa una michango na hoja za nguvu hapa jukwaani, lakini nasikitika kuwa umenaswa kwenye propaganda hii.
Naomba nikuulize swali, uliamini katika kile kilichoitwa kikombe cha babu?, did you think it was real and efficient?, kwa nini kilipigiwa chapuo sana hadi na viongozi wa serikali?, kama ilivyokuwa kwenye hilosuala la kikombe, Freemason na Illuminat hizo ni njia tu za kuwahamisha watu watoke kwenye mijadala mikubwa na ya muhimu ili washinde wanajadili freemason, ili tawala zipumue.
Naomba nikupe zoezi dogo, chunguza vyombo vya habari au watu wanaoeneza habari za freemason ni wa mrengo gani.

Haha..km ulinikubali ktk hayo pia utakuwa na wakati mgumu kunikataa ktk haya....Najua ni fikra zako tuu hazitakia kubaliana na ukweli kuwa hawa jamaa wapo na waantenda mambo mabaya.....mimi niliwahi ishi mitaa fulani hatari sana..ila niliwahi pita kwa miaka zaidi ya 4 sasa yoyte niliyotaka kwa muda mrefu sana..Mara zote haikuwa ikiingia akilini kuwa kuwa huo mtaa ni ahtari sana.Niliwhai pita kwa kila saa ya usiku tena mara nyingi.Ila siku iliyonikuta...nilipata picture tofauti....


Issue ya kikombe cha Babu ni local thing..na sidhani km alikuwa nyuma yake ni nani haswa...na issue nyingine za uhalisia au upotoshaji wake.Ila siamini km ni mpango wa serikali..CCM tunawajua kil akitu huwa wandandia for political gain..km wanavyotaka tuambia mikopo tunayolipa kw akodi zetu tuihuskuru CCM..

Illuminati ni bishara nyingine iliyokuwepo kabla ya East Africa na Tanzania....au Tanganyika kupewa majina.Naona unataka on akm ni ubunifu wa CCM , CCM wanaweza kuwa na wafuasi ambao pi ani wafuasi wa hawa jamaa na hivyo sasa wanataka tumia influence za hao jamaa dhidi ya wapinzani au au hata ku recruit watu wengi zaidi..Hakuna Siri mauaji ya albino yana mkono wa Viongozi wa serikali na wafanya bishara wengi sana.

sbaabu ulizotoa ndugu yangu hazikani uwepo wa hawa jamaa wala kuonyesha kwamba CCM ndio wenye influence kihivyo...Kinachoonekana hapa TZ ni kila mtu kutaka jisifu, kutaka kuza, kutaka generalize issue za hawa jamaa..Ninavyojua hawa jamaa wengi ni watu makini,ni watu wenye nguvu sana hata km ki mali si kihivyo..hawa jamaa wapo active sana ktk misaada..na wapo very aggressive..ukipewa task lazima uimalize..km ni kujeng akisima cha maji huwezi sem asijui nitapata wapi hela....utachangisha ujuavyo siku inayofuatia uje na kisima au visima...sasa hawa jamaa wapo mashirika na clubs mbalimbali ambazo zinahitaji referees kujiunga.
 
Wapo kundi lenye uelewa wa juu_sababu wanataka watutawale kirahisi...moja ya fimbo wanazotumia ni dini na hasa hizi Abrahamic_get it..?

Haha..huwa wnaajificha uko kwa kuwaendesha viongozi wasio na ulinzi,ila wengi ni wajamaa, wasio na dini, humanists, atheists ktk public ila illuminati in the club.....

Kwetu hapa wapo sana wahindi wa dini zote.....na wajamaa, wazee wa mila ambao wanataka tumia nguvu za kimila kujificha ktk hiyo heshima......ili watu wasihoji mambo yao kuwa na ugeni mkubwa kitaifa na kimataifa...Wengi wao ndio wanaopitisha wagombea wa kisiasa ..utasikia wamepitishwa na wazee na wazee.
 
Yawezekana Iluminati wapo.Lakini ya kwamba karibu watu wote maarufu ni Iluminati na kwa kufiwa kwao ndio wameua hiyo inatia mashaka makubwa.Devil you are a liar.

Unachohofia ni huo wingi au ni kwamba si wote?Si wote ndio maana wewe na wengine si Illuminati.Sasa kuwa wengi au lah ni jinsi unavyoweza sema jamii imepotea au watu fulani wamepotea.Au jamii imeanza kuwa nzuri.

Pia ujue Tamaa ndio huwafikisha watu ktk njia na kujiSALIMISHA ktk utumwa baada ya tamaa kuwafikisha ktk shida.Mata nyingi hata wewe ukijikuta unahitaji kubali jambo fulani ili umalize lingine na kuzaa lingine ujue unaelekea huko..
 
So basically mtu yeyote akiwa maarufu na ana pesa hatakiwi kufiwa na mtu wake wa karibu kwa sababu "conspiracy theory douchebags" kama wewe watamtuhumu kwamba ni Illuminati.
 
These guys wanapenda umarufu,power, na hela....

baada ya kifo cha Tupac, ulivyotaja vimeongezeka kwa Surge Knight?

kwa familia ya M.J pia?

his friend, c'mon.! hiyo ya kumtoa asiye damu yako(rafiki) ufanikiwe stori tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom