Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,122
- 2,570
Hahaha nakuelewa sana.
Ukiingia ofisini kitendo cha kukutana tu na watu koridoni unaanza kusisimka, wkt mwingine unatamani hata ubadili njia ukikutana na watu unaowafahamu.
Ukitoka outing na marafiki, ukirudi unaona unahitaji muda wa kurecover. Unakuwa exhausted sana (being around people exhausts u).
Vipi kuhusu maumivu, unaweza kustahimili maumivu? (pain tolerance)
Hapo sijaelewa, ulikuwa na maana gani?