The HSPs (Highly Sensitive Persons)

Hahaha nakuelewa sana.
Ukiingia ofisini kitendo cha kukutana tu na watu koridoni unaanza kusisimka, wkt mwingine unatamani hata ubadili njia ukikutana na watu unaowafahamu.

Ukitoka outing na marafiki, ukirudi unaona unahitaji muda wa kurecover. Unakuwa exhausted sana (being around people exhausts u).

Vipi kuhusu maumivu, unaweza kustahimili maumivu? (pain tolerance)

Hapo sijaelewa, ulikuwa na maana gani?
 
Vipi kwa mtu ambaye ana combination of the two...yaani kuna kipindi in life he feels very comfortable being around people na yote yafananayo na kujichanganya kwenye jamii, HALAFU kuna vipindi anakuwa hataki kabisa kujichanganya kwenye jamii, the same jamii ambayo few months back he enjoyed being around them.

Huyo anakuwa kundi gani?
Kabla sijakujibu, wewe ni she au he?
 
Nina connect na unachosema
naweza kukaa alone hata wiki nzima
mradi niwe na tv na internet

nahisi most online junkies ndo hao hao hsps.....

sipendi kelele kabisa......na niko comfortable alone
 
Ndio wale wakujistukia na kuwatenga wenzaoo kisa mali na uzuri halafu wanasingizia am high sensitive person
 
Nina connect na unachosema
naweza kukaa alone hata wiki nzima
mradi niwe na tv na internet

nahisi most online junkies ndo hao hao hsps.....

sipendi kelele kabisa......na niko comfortable alone
Kumbe mbwembwe huwa ni za mitandaoni tu..
 
Being an HSP (Highly Sensitive Person) has taken a toll on me.
People don't understand us. We connect with animals, music, nature, than anything else...we prefer a solitary life so that we can digest everything around us. We have a lot to process.

Social interactions and gatherings are overwhelming to us, they are simply irritating. We get to understand people's emotions at a deeper level than an average person.
We look too much into people and things. We are highly intuitive. We see details that others don't. We are about 15-20% of the world population.

We cry over anything, from watching a sad cartoon movie to seeing an animal getting hurt...it just becomes too much to take in. Horror movies, anything scary is unbearable.

My family and people around tell me to toughen up, they think am weak, too emotional, a crybaby, but that's who I am (an HSP), it's genetic. It's not a disease. They just need to take it easy with me.

Relationships are usually tough on us because we don't connect with people easily (not even to our partners). And the fact that we are highly sensitive to our surroundings ie. Noise, smell, weather, fabrics, skin, makes matters worse.

I love my Personality.

Does anyone connect?
Hongera sna dada yng kwa kunionesha kitu ambacho nilichokuwa najiulza na kukitafuta kwa mda mrefu sna bila ya kupata majibu rasmin, kiukwli mimi ni miongoni mwa hao watu, na nilijitahidi sna kutaka kuepuka hii hali kitambo ila nimeshindwa kuiondosha, imefika mahali nimesema nibora niridhie kwa kile Mungu alicho nipa, ila wewe ndio umenipa moyo zai kwa kweli, nimeanza kutafuta na kusoma sehem tofatu ili nijue zaidi kuhusu HSP, naji proud sna kuwa kwenye hali hii, asante Mungu.​
 
Ndo maana nikasema it has taken it's toll on me.

Being an HSP sio rahisi. Ni personality ambayo unakuwa kama vile hufit kwenye jamii ya kawaida halafu unakuwa unajitahidi kufit in matokeo yake ni struggle ya ndani kwa ndani. Watu hawakuelewi nawe huwaelewi. It's frustrating.

Kwa mfano unasikia harufu fulani lkn kila mtu pembeni yako anakuambia hasikii,
Unasikia baridi wengine wote wanakuambia hawasikii.

Unaelezea jambo au unaangalia filamu unaanza kulia, mtu anakwambia hivi wewe una matatizo gani.

Unamwambia mtu siwezi kuwa na fulani kwa sababu si connect naye, unaambiwa umechanganyikiwa.

Unavaa nguo inakuwasha mtu hakuelewi, anakushangaa.

Hali ya watu kutokukuelewa inasumbua. Ndo maana unaamua kuconnect na wanyama, mimea (nature in it's totality), na muziki coz they are humble, they understand.....they don't get hard on me.

Bado siwafahamu watu wenye hali kama yangu ila najua wapo.
Wapo ila ni adim san, kwani hata mimi najiona niko tofauti sna na wengine kutokana na tabia zangu, wengi wanao nijua wanasema ni mpole sna na sio mtu wa kujichanganya ingawa najairibu kuondohsa huo utofauti but mara nyingi nashindwa, muda mwingi napenda kuspend nikiwa peke angu, mimi niko nje ya Afrika, nimepata maswali mengi sna kwa watu ambao wamenizunguuka kutokana na hali yngu na kushindwa kuwajibu ingawa kuwa najitahidi kuconnect nao but sifit kivile.​
 
Hongera sna dada yng kwa kunionesha kitu ambacho nilichokuwa najiulza na kukitafuta kwa mda mrefu sna bila ya kupata majibu rasmin, kiukwli mimi ni miongoni mwa hao watu, na nilijitahidi sna kutaka kuepuka hii hali kitambo ila nimeshindwa kuiondosha, imefika mahali nimesema nibora niridhie kwa kile Mungu alicho nipa, ila wewe ndio umenipa moyo zai kwa kweli, nimeanza kutafuta na kusoma sehem tofatu ili nijue zaidi kuhusu HSP, naji proud sna kuwa kwenye hali hii, asante Mungu.​
Asante. Ni muhimu kujijua wewe ni mtu wa aina gani.
 
Asante. Ni muhimu kujijua wewe ni mtu wa aina gani.
Hivi unawez kunisaidia kujua nini tufanye kwa watu wa aina km yetu HSP ili tujiongezee stability and confidence kwnye maisha yetu. Yaan natamni kushea hii imagination coz nilikuwa najikuta km vile niko peke angu wa aina km hii hapa dunian na ilikuw najishangaa sana kwa utofauti wangu, ila sasa kujua km kumbe wapo km mimi hat km ni kidogo, yani nimeanz pata motivation ya kujitokeza na kujisifia kulingan na nilivyo.​
 
Mimi naona kwanza ni kujikubali, jua kuwa uko tofauti kidogo na wengine na sio jambo unajifanyisha. Mfumo wa mwili wako ndivyo ulivyo na huwezi kuubadilisha. Nature imekupendelea zaidi.

Kitendo cha kujikubali tu kitakupa confidence. Hutapambana kuwa kama watu wengine. Kwanza hutoweza kuwa kama wengine, utaishia kuwa frustrated.

Watu sensitive wasiojikubali huishia kuwa na low self esteem (I struggled with this, I know what am talking about) kwa kuwa hujiona kuna kitu wamepungukiwa, na jamii huwaona ni waoga, wasiojiamini, watu wenye aibu na wanyonge kiujumla.

Jikubali, you are gifted.
 
Being an HSP (Highly Sensitive Person) has taken a toll on me.
People don't understand us. We connect with animals, music, nature, than anything else...we prefer a solitary life so that we can digest everything around us. We have a lot to process.

Social interactions and gatherings are overwhelming to us, they are simply irritating. We get to understand people's emotions at a deeper level than an average person.
We look too much into people and things. We are highly intuitive. We see details that others don't. We are about 15-20% of the world population.

We cry over anything, from watching a sad cartoon movie to seeing an animal getting hurt...it just becomes too much to take in. Horror movies, anything scary is unbearable.

My family and people around tell me to toughen up, they think am weak, too emotional, a crybaby, but that's who I am (an HSP), it's genetic. It's not a disease. They just need to take it easy with me.

Relationships are usually tough on us because we don't connect with people easily (not even to our partners).
And the fact that we are highly sensitive to our surroundings ie. Noise, smell, weather, fabrics, skin, makes matters worse.

I love my Personality.

Does anyone connect?
Do I know you?
 
Back
Top Bottom