Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,129
- 4,393
UKIPATA Chance ya kuwatandika Tandika haswaa.
Ukiona Mwanaume anazungumza peke yake bila kuomba ushauri jua anaangusha mazoe chini.
HamzaView attachment 3322782
Itakuwa ngumu kuwatawala kuliko kuwauwa.
Mguu uliohangaika Sana ndio ukanyagao nyoka.
Chumvi imeyeyuka na kujifanya maji.
Ukiona Mwanaume anazungumza peke yake Usimcheke.