Utasutwa na nani sasa K?
Mkuu sina hata baiskeli lalikini kwani gari linaingiaje hapa?
Kwahiyo ulitaka nikariri mistari kama ya Dokta love-Pimbi kisha nishuke nayo au?hiyo gia sku nyingine utatolewa nishai kijana, eti "afadhali unipatie mimi hilo ua"...jajajajajja
Nishasema mashushu wangu washamaliza kazi, Demu mali yake na ana Kazi nzuri.
I feel ye broda.Usisahau wanawake wana tabia moja ya kijinga sana kufanya vitu kwa makusudi ili wajue reaction yako iko vipi like wanaweza kukuletea kejeli, maneno flan ya dharau hata kukukwaza makusudi at times. We usichukulie serious, just take it easy and smile back that way itamfanya yeye azidishe mazoea na ww na ita build a deep inner bond between tha two of you and thats what we want and need most at tha first mathafukin place so u need to play your cards right. (Ila kama ni matusi au lugha chafu, gently mwambie hupendezwi na itikadi hzo, itamfanya hata yeye azidi kukuheshimu na kukuona we jamaa ni gentleman indeed). All in all ni kujifanya mjinga/f*la flan hvi.
We fanya nayokwambia utakuja niambia mwenyewe, na itafika wakat hata madem wengine utakua unafanya kuwakimbia mwenyewe. Uchawi mkubwa hapo ni "CARE and Gentleness" Baaaas.
aiseee ndugu fanya mpango umpate kwanza niko happy kwa hatua uliyofikia usitake kujua kwanin niko happy
Nalitambua hilo na nishafanya upembuzi-na-utambuzi yakinifu wakutosha nimegundua kuwa hajaolewa....chonde chonde.....kufukuzia wanawake wa watu ni hatari kwa kijambio chako.....
TANGAZO KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.....
Nalitambua hilo na nishafanya upembuzi-na-utambuzi yakinifu wakutosha nimegundua kuwa hajaolewa.
Hivyo mayo wako upoe na unishauri nampataje kirahisi najua wewe pia ni hazina na mdau wa muhimu
-Na kwa hili linakuhusu.
Shusha material tu mwalimu nipo na Note-pad hapa na ipo fully-charged.
Twende kazi..