The girl next door, sijui atasema yes

The girl next door, sijui atasema yes

Just treat her like any other lady. Kwani wengine huwa unawapataje? Au gari yake imekushusha confidence?? (ni gari BTW!?) Ukicomplicate sana unaweza kuakisi personality ya mtu mwingine na mwisho wa siku ukamkosa huyo demu na ndoto zako za kumuoa zikaishia hapo.
 
mkuu huyu dogo hataki kuoa anataka kusuuza rungu tu..???
 
mwambie usiku silali nakuota wewe muda wote, nikinywa maji nakuona kwenye glasi kwa hiyo naomba moyo wako!
hap ushaua
 
Shusha material tu mwalimu nipo na Note-pad hapa na ipo fully-charged.
Twende kazi..

Mbona easy tu.....gonga viroba ili kutoa aibu maana inavyoonekana unamuogopa sana....pili...ukimuona muambie BABY I LOVE YOU VERY MUCH..I CANT LIVE WITHOUT YOU BY MY SIDE....Huku umemkazia macho na machozi unayaachia kwa madaha...sio ulie kama Upo msibani.....lazima atakujibu I LOVE YOU TOO BABY...Hapo tena unamshika mkono unampeleka geto kwa maelezo zaidi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom