The girl next door, sijui atasema yes

The girl next door, sijui atasema yes

Kijana mbona kazi ndogo sana.hiyo...mvizie akirudi kazini muokote nyayo...uniletee na kuku mjane....na unywele wake mmoja...kwisha habari..yake...atakufuata mwenyewe...

ha ha ha ha ha ha aaaaaaaaaaaah!!!! yani ume made my day.... thank u
 
natamani ningelikuwa naishi mtaa mmoja nawe nikupige ovateki chap chap...
 
Kijana mbona kazi ndogo sana.hiyo...mvizie akirudi kazini muokote nyayo...uniletee na kuku mjane....na unywele wake mmoja...kwisha habari..yake...atakufuata mwenyewe...
Nasikia harufu ya Ulozi kwa unalotaka kulifanya hapa.Nasema no, no, noooo. siwezi kufanya hivyo.
 
Hongera sana mkuu nikuhulize swali
1. Gari unalo
2.Pesa za kutosha zipo
3.Nyumba cio muhimu maana ata mbuzi anayo
Bas kama vitu ivyo unavyo mtoto umesha mpata sawa mkuu
Mh !! , Makubwa.
 
Mbona rahisi mno. We nunua ua zuri linalotafsiri dhamira yako kisha tafuta mpunga wa kutosha ku accomodate situation yoyote itakayotokea siku ya appointment then tafuta siku yenye nafasi kwako halafu omba appointment date kwa kutumia maneno yalioyojaa utundu. Kazi ni kwako. Je una una usafiri?
Mkuu sina hata baiskeli lalikini kwani gari linaingiaje hapa?
 
Jamaa ana remba sanaa. Angekua kitaa chetu huyo, watu tushamaliza kitambo. We mpaka umtaftie sijui maua kwan anaenda kuzika huyo ??? Mpaka unamuambia swala lako unalikumbuka na unalifanyia kazi yeye kichwani hajui tu unataka nn ?? Heb acha utoto ww. cha ajabu mpaka now hata Dial yake huna. Daaah we jamaa bado sanaaa !!!
Wakat bado nakua nikiwa in my early 20's nshapoteza opportunity kibao za kua na watoto wazuri sabab ya ku remba remba since then huwa sifanyi makosa dem akinipa upenyo kidogo tu nafanya kweli !!!
 
anavyoonekana...zaidi ya miguu hana usafiri mwingine...
Kama unaniongelea mimi hujakosea, Ila kama unamzungumzia mtoto we acha tu.
Alikuwa anasukuma Vitz lakini hivi siku za karibuni, hana hata mwezi naona anaburuza Rav4 nusu mkate ya silva.
 
Waungwana fanyeni ufupisho,threads ndefu kama hizi weekend si poa,inapoteza mda wa kushushia bia
c.c Kaiza Asprin
Itakuwa bia za ofa au promotion hizo.
Hivi, Ingekuwa week-day ungesemaje? Acha Ila ya kwapa kunuka bila sababu.
 
Ngoma nyepesi sana, hapo unazunguka halafu anakwambia ana mtu, cha muhimu tafuta jioni moja mkaribishe dinner kwako, pika fresh, andaa kaua kamoja kazuri. Baada ya msosi kama una kauwezo weka na wine hapo mnakunywa huku unapiga sound na unampa ua uliloahidi.

Acha kucomplicate the situation sana hadi wadogo zako waogope and dont be too fake ili badae ukishindwa kusimamia show akuone jinga.
Okay, Haya nayo ni madini mkubwa.
 
Kwa tafsiri yangu ua ni chochote utakachoona kinafaa kumpa, kuashiria unampenda na ameugusa moyo wako. Wakati mnapeana.funguka na umzungumze!! Kwa vile wote ni watu wa shugjuli tofauti, mkionana tena mwambie unataka umkabidhi Ua, ulilomuahidi, hivyo mpange muda na mahali. Ndipo Hapo utamkabidhi limfaalo kjlingana na unavyojiweza. Kjmbuka ulivyo mchunguza naye anakuchunguza na kakuchunguza. Hivyo ubaki katika uhalisia wako. Huna haja ya kujifaragua. Huo ndiyo ushauri wangu Kwako
Hizi ndizo aina ya busara ninazozihitaji katika kipindi hiki, Asante sana mkuu.
 
tafuta kadi yenye maneno mazuriiiiiii ambatanisha na maua halisi weka na namba yako ya simu mpe kimasihara kaa pembeni usubiri majibu
Thought liking isn't enough, Nimeipenda na asante.
 
Duh boss ulikosea siku nyingi sana...actually ile ile siku ungechuma ua umpe hata kama ni yale mekundu ya fensi yale....! A bird in hand is worth nine in the bush.


We jizoeshe tu kumuita shem kwa sasa....
Yaniyaniyaniyani iwe ndio nishamkosa? Hapana si kirahisi hivyo.
Nipe mbadala bwana-Nakuaminia.
 
Ulivyoandika na mbinu unazo tafuta hapa ni uzinzi tu unaokusumbua siyo muoaji wewe,mke wa kuoa huhitaji kupewe mbinu na jirani.
Kama umemaanisha muulize wazazi wake wako wapi katangaze nia huko.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom